Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

Amesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru!

Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa dispensaries, barabara, elimu bure nk!
Kikwete heri angekaa kimya tu ale ubuyu.
Suala la kurekebisha Katiba aliloshindwa, linamuumbua
 
hongr sana jpm, unastahili pongezi sana, nataman uchaguzi wa serekali za mitaaa ccm ishide kwa asilimia mia,
 
Pia alijenga viwanda kwa mamia na nyumba za serikali kwa maelfu lakini vyote hivyo viliuzwa kwa bei za kutupa!
Pia hakuwahi kusimama popote na kusema je nikiondoka madarakani ndege zitanunuliwa? Barabara zitajengwa? n.k.
 
JK kuikataa rasimu ya Katiba ya Warioba ndiyo matokeo yake haya,hakika JK ndiye wa kulaumiwa katuachia msala mkubwa mno.
Katuachia matatizo makubwa mno. Anawajibika moja kwa moja kwa matatizo wanayopata binadamu wenzake. Natumaini historia itamuhukumu kwa usahihi.
 
Hicho siyo kigezo cha kupima maendeleo ya Nchi. Maana hakuna faida yoyote kufanya mambo ambayo kesho usipokuwepo nayo yanapotea. Kwangu nikimpima katika vigezo vyote yeye ndo kaferi kuliko wote.
 
Amesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru!

Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa dispensaries, barabara, elimu bure nk!
Huyu baba tatizo ana mawazo ya kijijini sana.. kwake kujunua baskeli ni maendeleo.

Wenzio wanaboresha shule za awali na msingi ilinkupata kizazi kilicho ondokana na ujinga..

Nyerere alisema vizuri sana.

Adui yetu sio kutokua na ndege adui yetu ni Ujinga, maradhi na umaskini.

Kwa ujinga wetu tuna nunua mandege wakati kwa fedha hiyo tungeweza kumaliza matatizo ya elimu na afya nchi nzima.
 
MOTOCHINI....Hii nchi ni Mali ya Wtz wote,kama unahis jpm is the best ni kwako binafs huenda hats make na watoto,baba,mama,bibi na babu yako kama wapo hawamkubali,wanakishangaa tu kiaina unavyolamba kwako zake,pemben wanakung'ong'a ulivyokuwa limbukeni
 
Naungana mkono na wewe, hivi hakuna namna yeyote JK anaweza kumuwajibisha huyu rais wa sasa asiye na staha kwa watangulizi wake ??
Watangulizi wanatakiwa wakae kimya. Huko USA rais ukimaliza muda wako mara nyingi hutakiwi kulumbana na iyeko madarakani. Trump anamchamba Obama kila kukicha lakini hamjibu. Kama ulishindwa kutimiza wakati ukiwa madarakani basi acha aliyepi afanye kazi bila kuingiliwa
 
Kitendo cha wengi kukaa kimya na kutosifia hayo wanayosifia ni kielelezo tosha kuwa wananchi hawaoni cha kusifia, wanaona usanii tupu.
 
Watangulizi wanatakiwa wakae kimya. Huko USA rais ukimaliza muda wako mara nyingi hutakiwi kulumbana na iyeko madarakani. Trump anamchamba Obama kila kukicha lakini hamjibu. Kama ulishindwa kutimiza wakati ukiwa madarakani basi acha aliyepi afanye kazi bila kuingiliwa

Hivi JK kamsema JPM au ni sisi ndo tunatafsiri kuwa JK kamsema JPM?
Maneno ya JK ni ya jumla kila mmoja anaweza kuystsfsiri anavyoona
 
Amesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru!

Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa dispensaries, barabara, elimu bure nk!
Huyu kichaa kila siku ni ndege, sgr, bwawa hana jipya la kusema. Mbona huzungumzii deni la taifa
 
Wanajimwambafai ila ukweli wanaujua tunataka katiba mpya wala sio korosho.
 
Back
Top Bottom