Kikwete aliwekeza katika watu, JPM anawekeza katika vitu. JK amejenga km mkoa hadi mkoa nyingi lakini JPM anamaliza viporo navingine havijasogea. Kikwete kama aliingia una mshahara Wa 400000/_ amestaafu ukiwa na mshahara Wa 1,600,000/_ (four times) . miradi aliyokamilisha kikwete JPM haiwezi na tunaambiwa ni pesa ya ndani wakati deni LA taifa linapaa chini ya awamu ya tano. Ngoja afikie kikomo cha kutokukopesheka ndio kilio na kusaga meno tukipate wote. .wakati huo hata mishahara itakuwa shida . Na hata kama atakamilisha hiyo SGR na Stiegler's umeme no kwa gharama ya kutoangalia maslahi ya wafanyakazi hajaongeza kitu. Mshahatra Wa kikwete ndio tunao hadi Leo. bahati njema jamii yetu ni ya watu wavivu kutafakari na kutambua ukweli. BTW ni kuwa JPM anatimiza wajibu wake , lakini sio vizuri sana kiasi cha kukejeli waliomtangulia. Ni Wa kawaida sana hana sifa anazopewa eti wenzie hawjafnya kitu. Ninatofautiana na wale mnaoimba matamshi ya mtawala aliyepo ili mpate ugali Wa Leo. Ni matter of priority yake , ninahofia kama ataongeza muda Wa uongozi eti akamilshe alivyoanzisha wakati rohoni mnaomba amalize mihula aondoke aje mwenye vipaumbele kam JK apandishe mishahara.