Rais Magufuli alipaswa awe Malta leo hii!

Rais Magufuli alipaswa awe Malta leo hii!

kama walishatuumiza kwa kututawala wanatukumbushia machungu kwa nini? jpm anajitambua na muda simrefu mabadiliko ya jpm yataikumba dunia na ndiyo hapo malkia atajifunza kutamka HAPA KAZI TU. chezea pombe wewe!

Kama tanganyika inavyoitawala Zanzibar?
 
Huko Kisiwa cha Malta kuna Mkutano mkubwa Kikoloni (CHOGM) unaendelea chini ya usimamizi wa Malkia Elizabeti wa Uingereza ambaye ndiye bosi wao, nchi wanachama zote za Jumuiya hiyo ya Kikoloni zimetuma marais wao isipokuwa nchi Moja tu inayojitambua hapa Afrika nayo ni Tanzania yetu, rais wetu katuma Balozi akamwakilishe, safi sana Rais Magufuli!

Tatizo ni lugha ya Malikia mkuu.
 
Pengine hana afya ya kuweza kukaa angani muda mrefu, na kwenda na Vx8 haiwezekani. Sio mbaya lakini, nasikia mkwere na membe wapo pande hizo.
Vipi yule mgonjwa anayetetemeka hawezi hata kuongea dk 5 na huwa anajinyea hatimaye alisababisha uhaba wa pampas kule chato na kwingineko angeweza kwenda??
 
Kwa nini aende huko haya baraza la mawaziri hajatengeneza? Safari ya kwanza nje itakuwa kwa majirani zetu, sio kwa wazungu!
 
Vipi enzi za vasco da gama wa msoga ...
hapo angkuwa ashatimba kitambo sana na
kuwahi siti ya mbele karibu na malkia.

Huko Kisiwa cha Malta kuna Mkutano mkubwa Kikoloni (CHOGM) unaendelea chini ya usimamizi wa Malkia Elizabeti wa Uingereza ambaye ndiye bosi wao, nchi wanachama zote za Jumuiya hiyo ya Kikoloni zimetuma marais wao isipokuwa nchi Moja tu inayojitambua hapa Afrika nayo ni Tanzania yetu, rais wetu katuma Balozi akamwakilishe, safi sana Rais Magufuli!
 
Last edited by a moderator:
Inasemekana jamaa ana implant hivyo hawezi kupanda lifts au kusafiri na long flights!. Japo wengi hapa tutampongeza for practicing what he preach, kama issue ya implant ni kweli, usikute hata hoja ya kupiga marufuku safari za nje, sio cost cutting bali ni uchoyo tuu na ubinafsi wa tukose wote.

Pasco

Sasa sijui utalipwa na nani? Sikuhizi mmekosa kitu cha kulalamikia mmekua ------- ------- wote,
Na bado.
 
Inasemekana jamaa ana implant hivyo hawezi kupanda lifts au kusafiri na long flights!. Japo wengi hapa tutampongeza for practicing what he preach, kama issue ya implant ni kweli, usikute hata hoja ya kupiga marufuku safari za nje, sio cost cutting bali ni uchoyo tuu na ubinafsi wa tukose wote.

Pasco

mkuu naona umeanza kuweweseka sana toka hii
"operational tumbua majipu" ianze, nadhani kuna
kitu kimeenda kinyume na matarajio yako.
Nakushauri tu mkuu Pasco "If you can't fight them , join them".
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni lugha ya Malikia mkuu.

attachment.php
 
Huyu ni kati ya wale ambao wangefaidika na kuwepo kwa jamaa wa Parkinson's disease Ikulu.Roho inamuuma, achana naye.
Una uhakika katika Common Wealth Countries zote ni Rais wa Tanzania tu ndio hakwenda ?, Au umeamua tu kufurahisha baraza ?
 
Akajifunze kiingereza kwanza.

swissme

Hiyo ni akili ya watu ambao hawajaenda shule kama wewe, huwezi kutoa kigezo cha english na mtu mwenye akili timamu akuone na wewe umetoa pointi. Ni kwa mjinga kama wewe ndo anaweza kuunga mkono
 
Unahudhuria mkutano ulaya unapewa dakika 7 za kuongea unarudi zako bongo rais wa botswana alikataa hii ishuu
 
English anajua....na hata kama angekuwa hajui sio tatizo kuna wakaliman . . Vilevile itakuwa poa hata obama aje. Jamaa achape kiswahili ndio lugja yetu ya taifa
 
Hiyo ni akili ya watu ambao hawajaenda shule kama wewe, huwezi kutoa kigezo cha english na mtu mwenye akili timamu akuone na wewe umetoa pointi. Ni kwa mjinga kama wewe ndo anaweza kuunga mkono
tatizo hapandishi mayai ya malikia.

swissme
 
Back
Top Bottom