Rais Magufuli alipaswa awe Malta leo hii!

Rais Magufuli alipaswa awe Malta leo hii!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Huko Kisiwa cha Malta kuna Mkutano mkubwa Kikoloni (CHOGM) unaendelea chini ya usimamizi wa Malkia Elizabeti wa Uingereza ambaye ndiye bosi wao, nchi wanachama zote za Jumuiya hiyo ya Kikoloni zimetuma marais wao isipokuwa nchi Moja tu inayojitambua hapa Afrika nayo ni Tanzania yetu, rais wetu katuma Balozi akamwakilishe, safi sana Rais Magufuli!
 
Huko Kisiwa cha Malta kuna Mkutano mkubwa Kikoloni (CHOGM) unaendelea chini ya usimamizi wa Malkia Elizabeti wa Uingereza ambaye ndiye bosi wao, nchi wanachama zote za Jumuiya hiyo ya Kikoloni zimetuma maraisi wao isipokuwa nchi Moja tu inayojitambua hapa Afrika nayo ni TanZania yetu, raisi wetu katuma Balozi akamwakilishe, safi sana Raisi Magufuli!

Una uhakika katika Common Wealth Countries zote ni Rais wa Tanzania tu ndio hakwenda ?, Au umeamua tu kufurahisha baraza ?
 
Ngoja ajifunze Kiingereza kwanza!
 
Nimepewa tenda ya kuwa sharpman kuwen na subira😛
 
kama walishatuumiza kwa kututawala wanatukumbushia machungu kwa nini? jpm anajitambua na muda simrefu mabadiliko ya jpm yataikumba dunia na ndiyo hapo malkia atajifunza kutamka HAPA KAZI TU. chezea pombe wewe!
 
Una uhakika katika Common Wealth Countries zote ni Rais wa Tanzania tu ndio hakwenda ?, Au umeamua tu kufurahisha baraza ?

Elimu shida sana jamaa kakurupuka tu, mbona nchi 15 hawakwenda maraisi au PM badala yake wamewakilishwa na mabalozi tu.
Hata Kenya ikiwamo
 
kama walishatuumiza kwa kututawala wanatukumbushia machungu kwa nini? jpm anajitambua na muda simrefu mabadiliko ya jpm yataikumba dunia na ndiyo hapo malkia atajifunza kutamka HAPA KAZI TU. chezea pombe wewe!

Hahahaa lazima walewe na wadondokee mtaroni..happa kadhii thuu!!!
 
Attachments

  • 1448715980753.jpg
    1448715980753.jpg
    55.5 KB · Views: 2,837
Mimi mbona namuamini hivi alipokuwa waziri Wa ujenzi wale walandarasi Wa kigeni alikuwa anakabiliana nao vipi wacheni chuku bnafsi mbona yuko vizuri tu anga hizo.
 
Back
Top Bottom