Rais Magufuli alipaswa awe Malta leo hii!

Akajifunze kiingereza kwanza.

swissme
Upumbavu wa mtu mweusi hata Donald trump ameuona: Unajivunia kiingereza kwani ndo lugha yako ya taifa? Rais wa China anaongea kiingereza. Rais wetu JPM ni raisi wa watanzania, lugha yetu ni kiswahili. Hongera sana JPM kwa kiswahili na lugha karibia 25 za makabila yetu unazoongea japo kwa salamu tu, huu ndo uswahili na tunajivunia uswahili wetu.
Miaka 54 baada ya uhuru, mipumbavu mingi bado inatawaliwa kiakili.

Mungu akulinde JPM wetu, akupe nguvu maradufu za kuyakomboa mapumbavu yote yanayotawaliwa kiakili.
 
Enzi za JK angekuwa zake anakula bata na maafisa kibao hakumbuki kuna maskini wanakufa kwa kukosa dawa..Namkubali Magu ndani ya mwezi 1 nchi imeanza kukaa kwenye mstari wake..nidhamu ya kazi imeanza kurudi katika office za umma.
 
waliotumbuliwa na wanaosubiri kutumbuliwa majipu ndo thread yao ya kumnanga mtumbua majipu eti hajui kiingereza!!! loo! angekuwa docta? nyambafu nyie!! songa magu songa mbele
 
Upumbavu wa mtu mweusi hata Donald trump ameuona: Unajivunia kiingereza kwani ndo lugha yako ya taifa? Rais wa China anaongea kiingereza. Rais wetu JPM ni raisi wa watanzania, lugha yetu ni kiswahili. Hongera sana JPM kwa kiswahili na lugha karibia 25 za makabila yetu unazoongea japo kwa salamu tu, huu ndo uswahili na tunajivunia uswahili wetu.
Miaka 54 baada ya uhuru, mipumbavu mingi bado inatawaliwa kiakili.

Mungu akulinde JPM wetu, akupe nguvu maradufu za kuyakomboa mapumbavu yote yanayotawaliwa kiakili.
excellent!!!!!!
 
Inasemekana jamaa ana implant hivyo hawezi kupanda lifts au kusafiri na long flights!. Japo wengi hapa tutampongeza for practicing what he preach, kama issue ya implant ni kweli, usikute hata hoja ya kupiga marufuku safari za nje, sio cost cutting bali ni uchoyo tuu na ubinafsi wa tukose wote.

Pasco

Pasco umeniangusha mkuu,nilitegemea zaidi kutoka kwako
 
☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆
 
I honestly expected a bit better from you, Mkuu. This is petty and whining. Let's assume kweli tatizo ni hiyo implant, je kupiga marufuku unawezaje kusema eti uchoyo na ubinafsi? Unafikiri kati ya wakuu wa nchi wote ye peke yake ndo ana tatizo na kushindwa kusafiri?
Tujadili hoja. What he did in terms of travel is right or not from the perspective of the collective good of our country? Many of us say YES! Haya mengine ni speculation yasiyo ya msingi.
Mkuu Susuviri, sio wengi wenye uwezo wa kubaini the motive behind or the underlying facts, causes!, wengi wetu tuko driven na events na matokeo tuu ya actions na sio causes!, viongozi madikiteta wengi walianza kwa kuwa populist hivi hivi mwisho wa siku katiba za nchi zao zilibadilishwa kuacomodate their selfish desires!.

Huku wengine wakipongeza kwa nyimbo za sifa na mapambio, let ma critics tuzame kidogo beyond events na actions, twende kwenye the motive behind and the underlying facts.

Pasco
 
Inasemekana jamaa ana implant hivyo hawezi kupanda lifts au kusafiri na long flights!. Japo wengi hapa tutampongeza for practicing what he preach, kama issue ya implant ni kweli, usikute hata hoja ya kupiga marufuku safari za nje, sio cost cutting bali ni uchoyo tuu na ubinafsi wa tukose wote.

Pasco

Pasco wewe ni mpumbavu na kigeugeu. Humu JF tumeshakustukia, heshima huna tena hata ujaribu kuandika maandazi gani. Ulijifanya mwana mabadiriko uchwara, ukatetea mafisadi na wala rushwa ambao watanzania wote tunawajua. Tafadhari sana mwache JPM wetu, hayo mabaya na magonjwa unayomuombea yakurudie wewe na familia yako.

Alipokuwa waziri kwa miaka 20. JPM alisafiri nje ya Tanzania mara 6 tu. Rekodi yake iko wazi.
JPM anaangalia Tanzania na watu wake kwanza, hiyo safari inaisaidia vipi Tanzania na watu wake? Miaka yoote maraisi wote wameenda, tumepata nini?

JPM is a man who dares to do things differently.

Tafadhari sana, tunajua haumtakii mema raisi wetu. Sisi watanzania tutalala mbele na yeyote anayemuwekea JPM kiwingu kufanya aliyoyapanga.
Umeishiwa hoja, huna mvuto, hujui pa kutokea unaanza kumuombea JPM mabaya, ulaaniwe wewe na kizazi chako.

Nenda uko ulipotoka,.
 
Mkuu Susuviri, sio wengi wenye uwezo wa kubaini the motive behind or the underlying facts, causes!, wengi wetu tuko driven na events na matokeo tuu ya actions na sio causes!, viongozi madikiteta wengi walianza kwa kuwa populist hivi hivi mwisho wa siku katiba za nchi zao zilibadilishwa kuacomodate their selfish desires!.

Huku wengine wakipongeza kwa nyimbo za sifa na mapambio, let ma critics tuzame kidogo beyond events na actions, twende kwenye the motive behind and the underlying facts.

Pasco

Hauna ucritic wowote. Dikteta ni yule anayeingia kwenye chama jumatatu, jumatano anagombea uraisi bila kupingwa.Je ulipinga?
Tupe kipengere chochote cha katiba lichovunja.

Unatafuta umaarufu humu JPM, pole sana, mvuto huna tena. watanzania sio mazuzu.

Inakuuma sana JPM anavyowanyoosha, na bado
 
hivi ni lini watu wazima mtajitambua? Hivi ni kweli JpM anahitaji sifa toka kwa mtoa hoja huyu katikati ya shughuli ngumu inayomfikirisha pasi mapumziko ya maana?

Hivi ni nini faida ya kuangaliana kwa mijicho ya husda na kutamkiana malaana na mabezo?

Nilidhani tumechagua kwa ajili ya Tanzania kumbe ndio yaleyale ya wapenda KUONGEAAAA SANAAA ili siku ipite tu...?

Tubadilike sote tena kwa faida ya nchi na siyo mtu. Namba 1. ni alama yetu, fahari yetu na ndie Mtumishi wetu ambaye Mungu amemkasimia Mamlaka zote....

TUKUE TUKIJIONGEZA.
 
Bado hajakipatia vizur huwaga anachanganyaga na kisukuma
 
Hauna ucritic wowote. Dikteta ni yule anayeingia kwenye chama jumatatu, jumatano anagombea uraisi bila kupingwa.Je ulipinga?
Tupe kipengere chochote cha katiba lichovunja.

Unatafuta umaarufu humu JPM, pole sana, mvuto huna tena. watanzania sio mazuzu.

Inakuuma sana JPM anavyowanyoosha, na bado
Pasco wewe ni mpumbavu na kigeugeu. Humu JF tumeshakustukia, heshima huna tena hata ujaribu kuandika maandazi gani. Ulijifanya mwana mabadiriko uchwara, ukatetea mafisadi na wala rushwa ambao watanzania wote tunawajua. Tafadhari sana mwache JPM wetu, hayo mabaya na magonjwa unayomuombea yakurudie wewe na familia yako.

Alipokuwa waziri kwa miaka 20. JPM alisafiri nje ya Tanzania mara 6 tu. Rekodi yake iko wazi.
JPM anaangalia Tanzania na watu wake kwanza, hiyo safari inaisaidia vipi Tanzania na watu wake? Miaka yoote maraisi wote wameenda, tumepata nini?

JPM is a man who dares to do things differently.

Tafadhari sana, tunajua haumtakii mema raisi wetu. Sisi watanzania tutalala mbele na yeyote anayemuwekea JPM kiwingu kufanya aliyoyapanga.
Umeishiwa hoja, huna mvuto, hujui pa kutokea unaanza kumuombea JPM mabaya, ulaaniwe wewe na kizazi chako.

Nenda uko ulipotoka,.
[h=3]Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John
[/h][h=3]Ushauri wa Bure Kwa Lowassa: Kwa Vile ni Magufuli, Kubali
[/h] [h=3]Ushauri Wa Bure kwa ENL, Chadema na UKAWA, Tuyakubali [/h]Pasco
 
daaah fursa kama hii enzi za utawala wa Vasco Da gama asingefanya ajizi... siku mbili kabla angekuwa ashatia maguu huko MAlta
 
Back
Top Bottom