magiribanya
Member
- Nov 19, 2015
- 22
- 3
we jamaa mbona mbishi hivyo,yaan naomba siku moja upewe ban,yaani nakuchukia.msengerema mkubwa.Yes sir.
Swissme
Y
we jamaa mbona mbishi hivyo,yaan naomba siku moja upewe ban,yaani nakuchukia.msengerema mkubwa.Yes sir.
Swissme
ulipo tupo.
kama alipo mpo sasa hivi mtakuwa mnachunga naye ng'ombe.
na kesi ya Richmond ikianza mtaenda naye Segerea.
Ng'ombe wanaendeleaje?
Mimi mbona namuamini hivi alipokuwa waziri Wa ujenzi wale walandarasi Wa kigeni alikuwa anakabiliana nao vipi wacheni chuku bnafsi mbona yuko vizuri tu anga hizo.
Pengine hana afya ya kuweza kukaa angani muda mrefu, na kwenda na Vx8 haiwezekani. Sio mbaya lakini, nasikia mkwere na membe wapo pande hizo.
Inasemekana jamaa ana implant hivyo hawezi kupanda lifts au kusafiri na long flights!. Japo wengi hapa tutampongeza for practicing what he preach, kama issue ya implant ni kweli, usikute hata hoja ya kupiga marufuku safari za nje, sio cost cutting bali ni uchoyo tuu na ubinafsi wa tukose wote.
Pasco
Nyie mnaosema hajui kiingereza ni mahanithi, hyo PHD aliipaje? sasa mmebakiza kutoa hoja za ******* ******* tu .
Huko Kisiwa cha Malta kuna Mkutano mkubwa Kikoloni (CHOGM) unaendelea chini ya usimamizi wa Malkia Elizabeti wa Uingereza ambaye ndiye bosi wao, nchi wanachama zote za Jumuiya hiyo ya Kikoloni zimetuma marais wao isipokuwa nchi Moja tu inayojitambua hapa Afrika nayo ni Tanzania yetu, rais wetu katuma Balozi akamwakilishe, safi sana Rais Magufuli!
rejea ripoti ya madaktari haruhusiwi kukaa juu anga ya zaidi ya masaa mawili
Wangesema hajui kiswahili hapo ningesikitika..........!Wacheni upotosjaji wenu hivi munauhakika Mh Magufuli hajui kuongea kingereza au mnamsingizia tu