Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,469
Unasema Magufuli hakwenda Malta? Kama mume ambaye hataki kwenda kazini kwa kuhofia mke wake atafanya uhuni.
kama walishatuumiza kwa kututawala wanatukumbushia machungu kwa nini? Jpm anajitambua na muda simrefu mabadiliko ya jpm yataikumba dunia na ndiyo hapo malkia atajifunza kutamka hapa kazi tu. Chezea pombe wewe!
Huo ni uwongo mbona yuko vizuri katika kimombo
Mpelekee ujumbe Edwadi, huyo jamaa hapo ndo saizi yake
Tanzania ijitoe Commonwealth. Haina faida kwetu.
Mkuu unaweza kutuwekea shughuli wanazofanya kama unazifahamu?
Zaidi ya ile michezo yao hamna lingine la maana.
Mwingereza anataka aendelee kuwa significant kwenye dunia ya leo. Kwa hiyo akaunda hii jumuiya ya makoloni yake. Zaidi ya misaada ambayo bado watatupa hata kama tukijitoa sioni faida ya hii jumuiya. Nchi kadhaa zimejitoa na zinaendelea vizuri tu. Nyingine kama Marekani wala hata hazokutaka kujiunga.
Elimu shida sana jamaa kakurupuka tu, mbona nchi 15 hawakwenda maraisi au PM badala yake wamewakilishwa na mabalozi tu.
Hata Kenya ikiwamo
Pengine hana afya ya kuweza kukaa angani muda mrefu, na kwenda na Vx8 haiwezekani. Sio mbaya lakini, nasikia mkwere na membe wapo pande hizo.