Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

Nimekupata.

Mimi nilikuwa najiuliza. Anafanya hivi kwa kutojua tu? Au ana calculations?

Naona jibu lako limeelekea kwenye calculations.

Na mimi naona hivyo. Kwa sababu hata kama yeye hajui, kuna watu wengi sana wa itifaki wanaweza kumshauri.
 
Oh masikini Rais wangu hata nuru usoni imepotea kazeeka JK anaonekana kijana kwake du kungangania majukumu makubwa wakati huna Gut's ndiyo huko sasa
 
Kuna upotoshaji unaendelea. Sijui ni kwa malengo gani... No wonder tunaambiwa Siku ina masaa 48... Na tunakubali.
Yaani, Magufuli kama Rais katwambia siku ina saa 48 na kuwa mtu anatumia barakoa 12 kwa siku 1.

Yaani, unapoamua kudanganya basi usiwafanye wananchi wako wote vilaza kiviiile.

Nilijikuta nacheka mwenyewe yaani
 
Kwahiyo akiwa peke yake kwenye kiti maana yake hakuna wasaidizi wake wanaokuja hapo kumletea vimemo nakadhalika?
Kaz kweli kweli alafu anamwambia mwamba uelewa wake mdg

Ova
 
kasema uongo hadi kwenye hesabu eti barakoa za kutoka nje unatakiwa kila baada ya saa 8 ubadilishe, kwa hivyo ndani ya saa 48 unatakiwa ubadilishe mara 12.
 
Wakija anavaa,wakiondoka anavua.
Sasa tabu yote hiyo ya nini wakati unashauriwa ukivaa barakoa basi sio jambo zuri mara kuivaa na kuvua huenda ikasababisha virusi hivyo kujipenyeza kupitia mikono ambayo anabadilishana nyaraka na wasaidizi.
 
Hovyo kabisa, ofisi ya rais imejaa watu wa ajabu sana, wangekuwa wanatimiza majukumu yao sawasawa basi rais asingekua anaongea mambo ya hovyo kama anayoyaongea sasa kuhusu corona
 
Sasa tabu yote hiyo ya nini wakati unashauriwa ukivaa barakoa basi sio jambo zuri mara kuivaa na kuvua huenda ikasababisha virusi hivyo kujipenyeza kupitia mikono ambayo anabadilishana nyaraka na wasaidizi.
Sanitizer,kunawa mikono na barakoa. Muda wote jamaa huwa na sanitizer huwa anawakumbusha na wabunge.
 
Mbona umeweza kumwamini Mungu wa Kizungu na Yesu wa Kizungu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…