Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,020
- 104,763
Nimekupata.Nihivi ndugu jamaa kapoteza ushawishi mtaani na kwenye membari anaamini watu wengi huko akili wanaachaga Geti yanaingia makasha tu so anaamini huko akitema ugoro wake atakubaliwa ndio maana kila mara unamsikia huko
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Mimi nilikuwa najiuliza. Anafanya hivi kwa kutojua tu? Au ana calculations?
Naona jibu lako limeelekea kwenye calculations.
Na mimi naona hivyo. Kwa sababu hata kama yeye hajui, kuna watu wengi sana wa itifaki wanaweza kumshauri.