Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
Nakuunga mkono.Mungu huyu tumuombe msamaha kwa makosa tuliofanya
Sasa wangekuwa wanalipwa wangekimbia?Kwani hawalipwi vizuri ?
Alifuata maslahi mkuu.ikulu imepatwaSorry to say this but rais hapa umeteleza!!
Unaposema unawasomesha hawachangii kwani hiyo mikopo si inatokana na kodi? je hizo hospitali za private hazilipi kodi?...
Ukiwauliza ajira wanasema hamsomi ili muajiriwe na serikali pekee jiajirini au mtafute ajira kwingine. Mkijitafutia ajira mnaambiwa serikali iliwasomesha. Basi serikali iajiri wasomi wote wenye mikopo!!Unasema vipi daktari pesa kala wakati ni mkopo ulimpa? halafu hiyo mikopo haiwezi kuwazuia watu kutafuta maslahi mazuri zaidi, kwanza mikopo yenyewe mmeweka riba ili kuzidi kuwakamua, wacha wakimbie.
Kwahiyo mtu aendelee kupata take home laki 5 ndiyo uzalendo wakati kuna mtu anataka kumpa take home 1.3m.....tuache mawazo ya kimaskiniHebu waambie na private sector wachukue mtaani, twende sawa
Mfano.. narudia huu ni mfano..Kwani hawalipwi vizuri ?
Huyu mzee nahisi ana kitu kinamsumbua sometimes tumuonee huruma.Ukiwauliza ajira wanasema hamsomi ili muajiriwe na serikali pekee jiajirini au mtafute ajira kwingine. Mkijitafutia ajira mnaambiwa serikali iliwasomesha. Basi serikali iajiri wasomi wote wenye mikopo!!
Mkuu hata kama angekuwa amesomeshwa kwa mkopo,hata huko private bado anahudumia walipa kodi wa nchi hiiHuu ni upumbavu, Rais lazima asaidiwe na wasaidizi wake.....kauli zake za siku hizi hata chekechea anashangaa. Kuwekeana masharti mtu anatafuta maisha yake ni ujinga, ajirini wengine wapo mtaani kibao tu...........what if alijisomesha mwenyewe hakutumia huu mksector nopo ambao umeturudisha kwenye Ukoloni aliopambana nao Nyerere.
Hata ungekuwa uwanjani ungekuja na kauli ya "kanukuliwa vibaya". Tuwajua watukuzaji wa mtukufu asiyekosea.Kwani akiwa huko hospitali binafsi, si anarejesha mkopo!? Ama mimi ndiye nimeingia kwenye uwanja wa mpira na shoka!!!
====
Kuna uwezekano mkubwa Rais amenukuliwa vibaya, ngoja nitafute chanzo halisi.
Ndio maana nilikacha mapema since 2016 .Kwa sasa nchi imekua ngumu sana aisee
Uko sahihi kabisaMkuu hata kama angekuwa amesomeshwa kwa mkopo,hata huko private bado anahudumia walipa kodi wa nchi hii