Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,721
- 45,129
Bi. Vasco anaumwaga mwingi
Unaijua historia ya Afrika Kusini? Unajua walipata uhuru lini? Kwa taarifa yako akina Mandela hawakuwa wanapigania uhuru bali walikuwa hawataki ubaguzi wa rangi. Kinachawaondoa wazungu huku Afrika ni sera a ardhi zinazobadilika kila mara kutokana na viongozi waliopo madarakani.
Wanaume akina Thompom wanarudi🤣🤣Duru zinatabanaisha huenda Rais akawa na ziara ya siku 6 mnamo mwezi ujao huko Canada.
Pamoja na mambo mengine inaelezwa atakutana na wadau mbalimbali wa utalii ili kuimarisha sekta hiyo.
Vilevile atakutana na wadau wa sekta ya madini.
Nb: Asante mama kwa maandalizi ya safari.
Wewe unaishi wapi?Wakulima wepi walihamia Marekani?Nani amekudanganya ? Unafikiri kwa nini Wakulima wa Kizungu hawa kuseto Afrika badala yake wakahamia Bara Amerika ? Hata Afrika yenyewe sehemu pekee waliohamia ni Afrika Kusini ambaye climate yake ni tofauti kabisa na Tanzania!
Vasco da gama wa kike huyu.Duru zinatabanaisha huenda Rais akawa na ziara ya siku 6 mnamo mwezi ujao huko Canada.
Pamoja na mambo mengine inaelezwa atakutana na wadau mbalimbali wa utalii ili kuimarisha sekta hiyo.
Vilevile atakutana na wadau wa sekta ya madini.
Nb: Asante mama kwa maandalizi ya safari.
Hiyo si angeunganisha huko huko baada ya kutoka marekani....Duru zinatabanaisha huenda Rais akawa na ziara ya siku 6 mnamo mwezi ujao huko Canada.
Pamoja na mambo mengine inaelezwa atakutana na wadau mbalimbali wa utalii ili kuimarisha sekta hiyo.
Vilevile atakutana na wadau wa sekta ya madini.
Nb: Asante mama kwa maandalizi ya safari.
Hapa si ndio inaitwa kubalance au nakosea??!Bila Katiba mpya itakuwa kila Rais akija anafanya yake anavyojisikia.
Imagine Rais fulani anakuwa haamini katika kutembelea nchi nyingine mara nyingi halafu akija mwingine anafanya kinyume chake!
Sasa tuchukulie nani anafanya Kwa usahihi kati ya wawili?
Sasa hapa panakuwa na kitendawili ambacho kinapadwa kuteguliwa na Katiba.
Vasco DagamaDuru zinatabanaisha huenda Rais akawa na ziara ya siku 6 mnamo mwezi ujao huko Canada.
Pamoja na mambo mengine inaelezwa atakutana na wadau mbalimbali wa utalii ili kuimarisha sekta hiyo.
Vilevile atakutana na wadau wa sekta ya madini.
Nb: Asante mama kwa maandalizi ya safari.
Propaganda za Sukuma Gang
Ndio maana nikasema Wakoloni hawakuondoka kwa sababu hatukuwataka, waliondoka kwa sababu ilikuwa ni lazima waondoke na hawakutaka kuishi hapa kwani wangetaka wangeishi kwa nguvu kama wanavyoishi AK, Amerika isitoshe Mzungu wa AK anayeitwa Boer ambaye ni Muholanzi asili yake maana au tafsiri ya Boer ni Mkulima na waliondoka Uholanzi wakitafuta sehemu ya kulima iliyofaa na Afrika Kusini ilifaaa na ndio maana waliseto huko, walipita kote huku kwetu lkn walishindwa ardhi na hali ya hewa siyo rafiki kama AK kwa kilimo chao …
Wametuambia uko ArushaAcha Atuge. Wakina Mwijaku wanaotumiwa kuitangaza Loyo Tuwa Hawajui Hata Mlima Kilimanjaro Uko Mkoa Gani
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tatizo kubwa kuliko yote ni umasikini wa fikra.Ni kweli Ila hata siku moja tusije kujiongopea tutajengewa nchi na wengine.
Tunapasea kuwa na sera ambazo zitatuongoza ili kupata Maendeleo, hii ya kusema sijui watakuja watu kutoka Canada au US ni akili mbovu tu na ndio sababu zinatufanya Hadi leo hii nchi za Africa ni maskini.
Mwinyi alikuja na sera ya kuruhusu kila aina ya watu kuja, tukafeli Hakuna Cha maana kiliendelea.
Mkapa akaja na sera hizohiz na akawapa hadi mashirika karibu yote, lakini mwisho wa siku tukafeli.
Ukweli ni kuwa nchi hii hatuwezi kujengewa Wala kuletewa Maendeleo na wa nje, sanasana watatumia udhaifu wetu kuchota kila chenye thamani.
Western countries has never be a good ally ...They mostly identified with condition loveLet all Tanzanian support her,bulding the Tanzania's economy and Western country's relationship which destroyed by Late Magufuli is not a simple issue.