Tetesi: Rais kuanza ziara ya siku 6 Canada mwezi ujao

Mie nashauri mama awe anafanya ziara kimya kimyakimya maana raia huku ni mwendo wa kulaumu.....
 
Ulefu wa kamba yake unamruhusu kula kokote kule.
Nimesikia pia atakuwa na ziara Sweden.
Tafadhari wahusika wamuelimishe Samia kuwa kuna CORONA bado duniani; hivyo aige viongozi wengine duniani wanaowasiliana virtually kwa mambo ya kiserikali! Kiongozi wa nchi asipende sana kusafiri safiri wakati huku!
 
Anaenda kuwaomba msamaha Wa Canada

Watu ambao walikiri kwamba wanatupiga

Mtu mmoja na akili zake za ajabu anaumiza watu milion 60
 
Kila safari rais analipwa $1 million sawa na Tzsh 2.3 bilion . Kwa safari alizofanya(nje ya nchi) mpaka sasa ana zaidi ya bilion 40Tzshs.

Hizi fedha ni tofauti na posho.
Ni hela yake ya mfukoni tu.

Watz tunalo

Acha uongo
 
Yaani Mkulima atoke MidWest USA Iowa aje kuishi na kulima kwenye tropical savanah heat la Afrika ? Avuke South Amerika yooote aje Tanzania kwenye ardhi ngumu ambayo hata mashine inaweza kata jembe? Unaota nafikiri!
Mawazo hasi kama haya ni hatari kwa ukuaji wa uchumi na kuvutia uwekezaji wenye tija nchini.
 
Kila safari rais analipwa $1 million sawa na Tzsh 2.3 bilion . Kwa safari alizofanya(nje ya nchi) mpaka sasa ana zaidi ya bilion 40Tzshs.

Hizi fedha ni tofauti na posho.
Ni hela yake ya mfukoni tu.

Watz tunalo
Watanzania wenzangu puuzeni huu uzushi.
 
Nani amekudanganya ? Unafikiri kwa nini Wakulima wa Kizungu hawa kuseto Afrika badala yake wakahamia Bara Amerika ? Hata Afrika yenyewe sehemu pekee waliohamia ni Afrika Kusini ambaye climate yake ni tofauti kabisa na Tanzania!
Rudi shūle ukasome TENA😰😰😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom