Rais Kikwete: Sina mgombea Urais

I thnk is typing error..kikwete....
Haraka za nini post kabla hujaiweka humu ipitie tena kuisoma, maana unaweza fikiriwa kuwa ni ujanja kama wa wachina kujaza bidhaa bandia kwa kuongeza herufi au kuondoa katika vile halisi na hivyo ukapotosha jamii
 
Nilikuwa sahihi kabisa na ndicho kinachokwenda kutokea upande wa Ccm ila waamuzi wa mwisho ni Wananchi Ukawa vs Ccm.
Mkuu,

Mimi huwa siziamini kauli za Rais Jakaya Kikwete.

Rais Kikwete hutaka kufurahisha/kuridhisha kila mtu kitu ambacho hakifai kwa kiongozi mkuu.

Nadhani hutashangaa kesho ukimsikia akitoa kauli nyingine.

Rais Kikwete ni kama kinyonga kwenye kutoa maamuzi ya kitaifa.
 
Maumivu ya homa huanza polepole wale wanaccm wasiomtaka Lowasa wajiandae kisaikolojia mwenyekiti wa Ccm ndugu JK ameyasema hayo mchini Africa kusini kusini kwenye mkutano wa AU akiwaambia marais wenzanke kwamba kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa Ccm yeye ana kura moja tu.

Source: Taarifa ya habari ya redio one saa 2 usiku huu.

My take:
Wenye akili timamu waelewe hii inamaanisha zengwe lolote ndani ya kamati kuu kura ndio zitaamuwa na ukweli ni kwamba kila mwana Ccm ana bei yake namuona Lowasa anavyowaachia manyoya wachovu wa kampeni waliobakia.
Rudi darasani ukajifunze kuandika vizuri mpumbavu wewe
 
Mi mwenyewe nimemsikia Jk akiongea, ni kweli amesema yeye ana kura moja tu, na akaongeza kwamba haoni shida kuona watia nia wameongezeka hivyo kwani inadhihirisha demokrasia imekua ndani ya ccm. Sasa cha ajabu ktk maneno haya ni kipi sijui!! timu fisadi wanashangilia nini sijui!!

For your information, maamuzi ktk kamati ya maadili na ktk CC yanafikiwa kwa concensus, hakuna kupiga kura ktk ngazi hizi, na mafisadi wote watachingiwa ktka vikao hivi viwili.

Huku kwenye NEC na MM ndo kuna kupiga kura, na yeye kama mwenyekiti wa vikao hivi ni kweli ana kura moja kama alivyosema. Kwangu mimi JK has spoken the obvious!!

Ni ktk hali ndo maana wale timufisadi wajanja wanasali usiku na mchana fisadi wao apite kwenye vikao hivyo viwili vya mwanzo ambavyo havina cha kupiga kura, ili aingie kwenye vikao vya kupiga kura (NEC na MM) akagawe bahasha apitishwe.

Jipeni tu matumaini kama slogan yenu but JK knows this game very well, kuruhusu jina la fisadi kufika NEC is a BIG blunder
 
Wewe utakuwa unawasha umesoma hapo ulichokiandika hapo juu au unakurupuka kama umefuniwa?
 
Wewe ndo mpumbavu na lijinga umekosea unaambiwa unapaniki

Mkuu umetokea pori gan nduki au wewe ndye yule mteule wa joka la mdmu uliyeachiwa jimbo la Mtama ugombee...mbona naonaga unatumia mwanadiwan au una I'd fake nyingi. ...dawa ni chungu ila kaa vzuri sndano iingie. ..lowasa ndiye rais ajaye
 
Well said Jk na lowasa hawajakutana barabarani 2005 lowasa alijitoa katka hatua za mwsho katika kipindi cha Bunge la bajeti kamanhili katika mbio za urais na kumuunga JK mkono na Abdulrahman Kinana na Anna Makinda walimwaga chozi hadharani mbele ya team lowasa ya 2005 baada ya lowasa kuwatangazia kuwa ameamua kukubali ombi la JK la kumuunga mkono JK kwa makubaliano ya kuachiana madaraka na kwa ushawshi wa king Maker kwani kila mmoja JK na lowasa walkua wameshajiandaa sana ni kama leo lowasa ajtoe fkria wafuasi wake na garama so lowasa alijtoa kwa dhati na anampenda JK kutoka moyoni japo wanafki wasio jua historia yao wanapambana usku na Mchana kuwagombanisha mktaka kujua urafk wa JK na lowasa muulizen kinana au makinda.. kwahiyo unganishen dot mtajua kinana na JK wanampenda lowasa kutoka moyoni na si knafki kwa hyo nape na membe wanacheza ngoma wasiyoijua
 
Mkuu umetokea pori gan nduki au wewe ndye yule mteule wa joka la mdmu uliyeachiwa jimbo la Mtama ugombee...mbona naonaga unatumia mwanadiwan au una I'd fake nyingi. ...dawa ni chungu ila kaa vzuri sndano iingie. ..lowasa ndiye rais ajaye

Ikulu siyo wodi ya wagonjwa Lusinde
 
Mkuu umetokea pori gan nduki au wewe ndye yule mteule wa joka la mdmu uliyeachiwa jimbo la Mtama ugombee...mbona naonaga unatumia mwanadiwan au una I'd fake nyingi. ...dawa ni chungu ila kaa vzuri sndano iingie. ..lowasa ndiye rais ajaye

Cc MwanaDiwani
 
Last edited by a moderator:
Unamjua jk au unamsikia ulitaka azungumze mambo ya jikoi nje thubutu.
 
Wewe utakuwa unawasha umesoma hapo ulichokiandika hapo juu au unakurupuka kama umefuniwa?

mkuu pengine we ndo hujaelewa nilichoandika

BTW you can't write without abusive language?? after all I did write for you, i didn't mention you, i didn't quote you either!!
 
Back
Top Bottom