Rais Kikwete: Sina mgombea Urais

Kama nisingekuwa rais basi ningechagua kuwa msanii_by jk siku ya meimosi ccm kirumba 2015
 
Utiriri wa watia nia wengi ni usanii wa hali ya juu na mbaya zaidi viongozi waandamizi wa serikali wanatumia hilo jukwaa la kutia nia kuikosoa serikali ambayo wao walikuwa viongozi au ni viongozi hadi sasa.

Huu ni usanii uliotukuka...
 
Maumivu ya homa huanza polepole wale wanaccm wasiomtaka Lowassa wajiandae kisaikolojia mwenyekiti wa CCM ndugu JK ameyasema hayo nchini Africa Kusini Kusini kwenye mkutano wa AU akiwaambia marais wenzake kwamba kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa CCM yeye ana kura moja tu.

Chanzo: Taarifa ya habari ya redio one saa 2 usiku huu.

My take:
Wenye akili timamu waelewe hii inamaanisha zengwe lolote ndani ya kamati kuu kura ndio zitaamuwa na ukweli ni kwamba kila mwana CCM ana bei yake namuona Lowassa anavyowaachia manyoya wachovu wa kampeni waliobakia.
 
Hakuna mwenye huruma ya nchi na watu wake kama Nerere na Sokoine ambae ametangaza nia.
 
Mkuu;

Unalikumbuka hili andiko lako la mwaka 2012?.
Mimi nimeshajiandaa kisaikolojia kwa ujio wa Rais mpya, sioni cockroch yeyote ndani ya CCM wa kuweza kumzuia mwanaume huyu wa Shoka, na kwa jinsi nijuavyo JK ni lazima ajisalimishe mapema kwa Lowasa ili visenti vyake vya uzeeni aweze kuvitumbuwa kwa amani.

Lowassa ni stering wa Kihindi, huwa anaanza kwa kupigwa na kuteswa lakini mwisho wa Sinema mtabaki vinywa wazi. na kwa wale wanaoamini kwenye maombi yule Nabii ambaye yupo duniani TB Joshuwa yeye tayari ameshamhakikishia Lowassa asubili kuapishwa tu.
 
Mleta mada amepotosha Jk amesema hana mgombea uraisi anayemuunga mkono wote ni wanachama wa ccm.
Hata mkipotosha mnahangaika bure
Ikulu siyo wodi ya wagonjwa Lusinde.
Chama cha baba yangu kimevamiwa na vibaka na mafisadi-Makangoro Nyerere
 
Maumivu ya homa huanza polepole wale wanaccm wasiomtaka Lowasa wajiandae kisaikolojia mwenyekiti wa Ccm ndugu JK ameyasema hayo mchini Africa kusini kusini kwenye mkutano wa AU akiwaambia marais wenzanke kwamba kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa Ccm yeye ana kura moja tu.

Source: Taarifa ya habari ya redio one saa 2 usiku huu.

My take:
Wenye akili timamu waelewe hii inamaanisha zengwe lolote ndani ya kamati kuu kura ndio zitaamuwa na ukweli ni kwamba kila mwana Ccm ana bei yake namuona Lowasa anavyowaachia manyoya wachovu wa kampeni waliobakia.

Ndo hasara za kuandika mada kishabika Kwekete ndo raisi wa nchi gani?
 
Back
Top Bottom