Rais Kikwete: Sina mgombea Urais

Rais Kikwete: Sina mgombea Urais

ameona maswaiba wake wote sio changu la watanzania ,amesema tutamleta rais ambaye watanzania wote watamkubali na kusema huyu ndo amafaa
 
Vyeo vilitolewa kwa undugu au kwa sifa? Demokrasia iliyoonekana kipindi cha kikwete kuna hawamu yoyote uliwahi kuiona? Je miaka ya nyuma uliona wapinzani wanasauti kama leo ya kumtukana rais hadharani? Kama ni undugu na urafiki Rostam na El wasingewajibika kwenye utawala wa JK au tatizo kubalance vyeo bila kujali dini,kabila na jinsia ndio undugu?

BWM alichorwa hadi akasahau sura yake, wacha uongo wewe. Huwa najua principle moja inayomhusu kila mwanadamu.\; 'ukijiheshimu na watu wengine wanakuheshimu vivyo hivyo'. Ukiona unadharauliwa ujuwe umetangulia kujidharau mwenyewe. Halafu usiwasingizie wapinzani, kejeli na dharau hutoka kwa makundi tofauti tofauti, hujasikia watangaza nia wakinangana kiaina?
 
wote waliojitokeza ndani ya ccm wanatangaza kugombea uraisi kupitia ccm kumbe wanatangaza majina siyo nia mpaka swahiba wake Lowasa hajamwona anafaa kumwachie hiyo nafasi .nimeanza kuamini mnara wa babeli unaanza kuporomoka sasa
 
Hata kama alikuwa naye bado ameahindwa kumuandaa kuwa mrithi, baada ya kuona nje watu hawamkubali akaona itakuwa aibu ndo anaamua kutuzga eti hakuwa na mtu... haya baba usiyejua maana ya kurithisha nyumba yako ila usipokuwa makini yatakutokea puani endapo utashindwa kutuachia mtu safi ...tutakulaumu daima.

Hatutaki rais mpenda mitandao ya kirafiki isiyo na tija kwa masikini,na asiye mchapakazi wauwezo wake ki akili ni mdogo kiasi cha kuongozwa na mawaziri, we need MAGUFULI,KWA HESHIMA YA CCM NA TAIFA LETU .
 
Hatutaki rais mpenda mitandao ya kirafiki isiyo na tija kwa masikini,na asiye mchapakazi wauwezo wake ki akili ni mdogo kiasi cha kuongozwa na mawaziri, we need MAGUFULI,KWA HESHIMA YA CCM NA TAIFA LETU .

mbona hamueleweki nyie magamba?
 
Rais Kikwete amekana kuwa na makubaliano ya kumuunga mkono mgombea yoyote kati ya wagombea karibu 40 waliochukua fomu CCM hadi sasa.

Rais Kikwete amesema hayo Sandton Afrika Kusini wakati akizungumza na Waziri wa maswala ya Afrika wa Marekani Bi Lindsey Greenfield.

JK amemwambia wAziri huyo kuwa utitiri wa watia nia wa CCM ni kielelezo cha kukua demokrasia ndani ya chama na ni jambo jema pia.

Amemhakikishia waziri huyo kuwa CCM itapata mgombea mzuri na yeye ana kura moja tu kama wajumbe wengine wa mikutano ya chama. Amesema hakuna yoyote kati ya watia nia ambaye amemtuma kuwania nafasi ili amrithishe.

Ikumbukwe siku ya kutangaza nia, Waziri Mkuu aliejiuzulu Edward Lowassa alisema walikubaliana na JK kuwa yeye (Lowassa) awanie urais kipindi hiki na ataungwa mkono na rafiki yake huyo.
 
Not me,not me tabia ya dingi,ana mtu wake maana tunaona ishara.
 
Kikwete alishawahi kukubali jambo gani? Akili za mbayuwayu...............
 
uzuri JK hana tabia ya kukubali jambo hata kama analifahamu jambo hilo.
 
94ea1c70-0054-4698-92ef-3284b1ed1824-medium.jpeg
 
Tumieni akili jamani...anayemwamini JK ni nani? JK. anaweza kumdanganya Mungu hivi hivi...kumbe hajui kuwa Mungu anamchora....!!
 
Jakaya Mrisho Kikwete ni msanii by Prof. Ibrahim Lipumba
 
Bora ajitahidi kujilindia heshima yake wananchi wamemuacha wenyewe aongoze nchi miaka yote huku wakijua majambo mengi yameenda kushoto.

Haya JK tulia tunajua unapaki mizigo na vingi vya wananchi kama wenzako waliopita, na sie tunakuachia udanganye na kutanua.

Kila la kheri
 
ila Moyoni mwake anajua kabisa ni yupi anamuunga mkono,kishasema kura yake ni moja tu,it means ni moja tu na kwa mtu mmoja tu.Kura ni siri
 
Back
Top Bottom