Mambo ya uwekezaji wala hayahitaji kuwafuata wazungu kwao. Wekeni mazingira mazuri ya uwekezaji, kuzeni uchumi wenu then wawekezaji wazungu anaofagilia JK watakuja wenyewe. Mbona Namibia, Botswana na hata kwa wachovu wenzetu Rwanda wawekezaji ni kibao tu bila hata mapresidaa wao kuwa KIGULU NA NJIA... Huyu jamaa JK huwa hata hayuko mkutanoni kiakili, huwa anawaza kutoa speech fasta ili awahi kula bata akijua kuwa Per Diem imeishaingia. Kamwe msitegemee nchi itanufaika na uombaomba wakeKuna mkutano wa World Economic Forum (WEF) ambao mwaka jana ulifanyika Mlimani city Dar es salaam.
Badala ya kuijadili safari tujadili faida za mkutano huo kisha tutajua umuhimu wa Rais kwenda.
Kama kuna mtu anajua faida na hasara za mkutano huo tunaomba msaada tuweze kupima umuhimu wa Rais kuwepo.
Hivi lini makamu wa Rais atamwakilisha?
wataalamu wa takwimu, ni safari ya ngapi hiyo?
Kuna mkutano wa World Economic Forum (WEF) ambao mwaka jana ulifanyika Mlimani city Dar es salaam.
Badala ya kuijadili safari tujadili faida za mkutano huo kisha tutajua umuhimu wa Rais kwenda.
Kama kuna mtu anajua faida na hasara za mkutano huo tunaomba msaada tuweze kupima umuhimu wa Rais kuwepo.
Kuna mkutano wa World Economic Forum (WEF) ambao mwaka jana ulifanyika Mlimani city Dar es salaam. Badala ya kuijadili safari tujadili faida za mkutano huo kisha tutajua umuhimu wa Rais kwenda. Kama kuna mtu anajua faida na hasara za mkutano huo tunaomba msaada tuweze kupima umuhimu wa Rais kuwepo.
Hivi Pinda, Billal na Membe wao ni wa hapa hapa jamani. Kuna nini huko nje au anaenda kuangalia na miradi yake nini
Faida hujaiona ile miti ya PALMS iliyopandwa kwenye barabara ya Mandela kuanzia eneo la Mlimani City hadi TCRA, kila mmoja ulinunuliwa zaidi ya Tshs kadhaa, halafu kuumwagilia maji ya Tshs kadhaa kila mti kila siku kwa wiki moja, na baada ya mkutano waandaaji wakasepa wakarushiwa zigo TANROADS nao wakataa wakasema Halmashauri ya Kinondoni, baada ya hapo palms zikakosa mwenyewe na asilimia hamsini zimekufa!!! Hasara kwa nani, kwako na mimi. Tumethubutu, Tumeweza, na Tunazidi kusonga mbele!!
Vasco dagama naskia yupo Ethiopia TBC One inaripoti mda huu
Vasco dagama naskia yupo Ethiopia TBC One inaripoti mda huu
Mama Mdogo asante sana kwa uzi huu
Kweli na kwa kurushiana majukumu watanzania hatujambo
Ndo kitu pekee tulichoachiwa na tunafurahi inavyoendelea kufa
Tunaomba waje tena tupate mingine