Mosachaoghoko
Senior Member
- Apr 19, 2011
- 137
- 10
vip anashindwa kwenda tarime ambako wananchi wake wameuawa na serikali yake hajatoa tamko lolote
vipi ana walinzi wa kutosha?
Source please au wewe ndo Salva?
Chadema wanaweza wakampopoa mawe kama alivyopopolewa kule Mbeya wakati ule
vip anashindwa kwenda tarime ambako wananchi wake wameuawa na serikali yake hajatoa tamko lolote
Who replaced sheik yahya?
Kwa nini asiende Tarime kwanza? Huu mgogoro ni mkubwa kabisa..it's beyond proportions..
Yaani hawa watawala wa Tz priorities zao always zimekaa kinyumenyume..bure kabisa
Very unfortunate in deed!
Sasa nimepata picha. Zitto kabwe ni mshiriki mkubwa wa kikwete. Ni zitto aliyewakilisha mchango wa tsh 10mil kutoka kwa jk, ktk hafla ya kuchangia mfuko wa elimu, wenje akiwa muandaaji, kumbe mil 10 ilikuwa ni kisafisha njia? Jk, kwa nn amtume zitto wakat kandoro mwakilishi wake yupo? Naanza kushawishika na mawazo ya weng kuhusiana na zitto.
Wananchi wana haki ya kumzomea Mwizi, Fisadi papa au muuaji kila mtaa na hoteli yoyote atakayoonekana hadi akimaliza ziara yake tusikie maneno ya Fisadi lililokubuhu au jizi hilo fisadi hilo nk.
Sijui kama kuna wanaotegemea kumwona huyu fisadi Mwanza ...
Tunawaomba wenyeji wa Mwanza na Familia zenu kaeni mbali na kama wanawapa pesa kumpigia makofi kikwete zichukueni kwasababu ni mali zenu na mlishe familia zenu. Kama mkiweza mzomeni kikwete na mafisadi wao watakaoongozana nae huku Mwanza.
Ziara za Kuwanunua Watanzania zimeanza na kama huu sio violation of democracy ni nini? Alimchagua na kumpigia kikwete kura Mwanza ni nani?
"Hata ukitumia pesa za serikali na vyombo vya ulinzi Tanzania wote hawa ni ndugu zetu na Hawakutaki kikwete, Mungu Apendi Uongo Hata Mara Moja"
akizunguka nchini mnachonga, akienda nje mnachonga...wabongo banaKuna safari ya nje ndefu inafuata, anazuga katikati ya nchi tudhani yupo yupo.
Ziara ya Rais ya kumsimika Askofu na kukagua ujenzi wa chuo cha polisi ambacho hakijaisha, come on now!