Sikonge
Platinum Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,237
Atakuwa Waziri wa kudai Rambirambi za Mwangosi.....
Nasikia Lema atakuwa waziri wa maandamano na vurugu
Nasikia Lema atakuwa waziri wa maandamano na vurugu
Mmewachoka CCM wewe na nani?. Jisemee mwenyewe badala ya kuwaweka watu wengine kwenye box la fikra zako otherwise, mtakuwa zaidi ya mmoja mnaoandika huu ujumbe kwenye keyboard/keypad.Tumewachoka na liCCM lenu, hata mumpe uwaziri Barack Obama kwa mfumo wenu huu goigoi na uliokufa hakuna mtakachofanya. CCM haina mtu hata mmoja ambaye ni firm.
View attachment 124764
Mkuu ninashukuru kwa kuliona hilo na nime edit.Mkuu Ng`wamapalala hivi Dr. Mgimwa ni Mbunge wa Kuchaguliwa au Kuteuliwa?:A S 39:
Nasikia Lema atakuwa waziri wa maandamano na vurugu
Wewe na Lema tu? Kwani Lema alikukosea nini? Hata pasipostahili, wewe lazima umtaje tu. Au ndio kujilipua kwenyewe, unajifanya hamnazo? Sasa huko majuu kwa akili hizi kweli unapawezaje?
Tiba
Dr. Migiro ni mchapa kazi mzuri tu. Namkubali.
Kinana hajui,anatumika KuWAKAANGA WAISLAM WENZAKE!Kawaida hiyo.
Kweli bongo yako imelala. Hakuna chombo kichwani.Kinana hajui,anatumika KuWAKAANGA WAISLAM WENZAKE!
Ushindwe UN halafu hapa TAnzania ndo upaweze!! Huyu ni mzigo mwingine kwa Taifa hili linaloaminishwa kuwa masikini!! Hao ambao huwa wanachaguliwa toka mataifa mengine mbona wanaweza!
Nasikia Lema atakuwa waziri wa maandamano na vurugu
Nasikia Lema atakuwa waziri wa maandamano na vurugu
[QUOTE said:matembele;7995599]Mbona mnashabikia vitu kimkichwa mkichwa bila busara?
Aliyepata performance report au assessment ya Mrs. Migiro aiweke hapa tuione?
Mnajua kuna mbinu gani au vigezo gani vya uteuzi aliopewa UN?
Nakereka sana watu wanapomshambulia mtu kwa hisia bila kuelewa undani na hata kutaka kufahamu ukweli ukoje.
Nendeni mkamalize form four zenu za division 5!!!
[/QUOTE]Huyu dada ni jembe saaafi, mchapa kazi, sio hypocrite na hajawahi wala hatohitaji kula rushwa au kuwa fisadi.
Hebu poteeni na u.jin.a wenu!
HATERS.... Go get a life!
Mbona mnashabikia vitu kimkichwa mkichwa bila busara?
Aliyepata performance report au assessment ya Mrs. Migiro aiweke hapa tuione?
Mnajua kuna mbinu gani au vigezo gani vya uteuzi aliopewa UN?
Nakereka sana watu wanapomshambulia mtu kwa hisia bila kuelewa undani na hata kutaka kufahamu ukweli ukoje.
Nendeni mkamalize form four zenu za division 5!!!
Huyu dada ni jembe saaafi, mchapa kazi, sio hypocrite na hajawahi wala hatohitaji kula rushwa au kuwa fisadi.
Hebu poteeni na u.jin.a wenu!
HATERS.... Go get a life!
According to Ban Kin-moon, "She is a highly respected leader who has championed the cause of developing countries over the years..." He also said that "Through her distinguished service in diverse areas, she has displayed outstanding management skills with wide experience and expertise in socio-economic affairs and development issues."[SUP][11][/SUP] According to The New York Times,
Bosi wake alimwagia sifa sasa hayo majungu yenu mmeyapata wapi?
Kushindwa UN hakuna maana kuwa anaweza hata akashindwa katika nchi.
Kuna watu wanasahau jinsi kazi za UN zilivyo na majungu kutokana na matamanio ya nchi mbali mbali kuweka watu wake na wafanyakazi within UN office kuzitaka nafasi hizo. Kwa mtu ambaye hawezi kuzichanga karata za majungu katika hizo ofisi, kunakuwa na uwezekano mkubwa wa kukwamishwa na kushindwa katika majukumu yake.
Kwa jinsi alivyo Dr. Migiro, siyo ajabu hilo lilichangia kwa kiasi kikubwa katika kuikosa nafasi yake.
By the way. Ni kweli Dr. Migiro alishindwa kazi au ndiyo yaleyale ya Watanzania na habari zao za vijiweni.