Rais Kikwete kupangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete kupangua Baraza la Mawaziri

Mkuu wangu hilo neno ukilisikiliza kwa undani utafahamu nini maana yake na nini kinatafutwa kupitia jinsia yake kama ilivyokuwa kwa Mama Spika wetu.

Nchi zetu bado ni Men's World bila kujalisha kama wanawake wana elimu na uwezo. Hata yeye anafahamu kabisa kuwa anaandaliwa kufika sehemu fulani kwa kutumia chapuo la jinsia yake pamoja na kwamba ana elimu na uwezo.

Huo ndiyo ukweli na Mama yetu ametoa shukrani kwa sababu hiyo!.
Ni mchezo mbaya sana. Hivi wanaomtaka, wanamtaka kwa maslahi ya Taifa au ni kwa maslahi yao binafsi ama "makundi" yao? Au ni strategy tu ya kumkwepa na yule "jamaa" mwingine? Na kwa kuwa hili limeanza mapama hivi, kuna hatari kuwa sana kwa huyu mama....nina wasiwasi anaweza kuwa "eliminated" na hao mtandao wa huyu "jamaa".
 
Amevunja rekodi ya kutoa na kuweka tutarajie hata 2015 atatoa tena na kuweka kabla hajamaliza ngwe yake

Tatizo si watu wake,tatizo ni yeye ana uswahiba mwingi
 
Mhe. Raisi amefanya mengi mazuri kwa manufaa ya Watanzania wote. Na inaonyesha wazi anaipenda sana Nchi yake. Ni mzalendo wa kweli. Mungu Ibariki Tanzania. Mabadiliko sio kuwa waliotolewa au kuachwa walitenda dhambi au hawafai, bali ni kutafuta maendeleo au mafanikio kupitia kwa wengine. Mbona hata wacheza mpira upokezana kuingia uwanjani?.
Ushindi si kubadilisha wachezaji, ushindi unategemea na mfumo unaoutumia!! kama mfumo ni mbovu wewe ni wa kufungwa tu hata ukipiga sab zote 11.
 
Sijui wanaona nini kwa mwanammama huyu, anapewa sifa ambazo sijawahi kuziona kwake. Amekuwa waziri kwa muda sasa, sijui alichowahi ifanyia TZ, seriously nahitaji kueleweshwa.
 
Ushindwe UN halafu hapa TAnzania ndo upaweze!! Huyu ni mzigo mwingine kwa Taifa hili linaloaminishwa kuwa masikini!! Hao ambao huwa wanachaguliwa toka mataifa mengine mbona wanaweza!
UN hakushindwa soma maneno ya Ban Kin-moon haya hapa.According to Ban, "She is a highly respected leader who has championed the cause of developing countries over the years..." He also said that "Through her distinguished service in diverse areas, she has displayed outstanding management skills with wide experience and expertise in socio-economic affairs and development issues."[SUP][11][/SUP] According to The New York Times,
 
UN ilikuwaje huo uchapa kazi wake?

According to Ban Kin-moon, "She is a highly respected leader who has championed the cause of developing countries over the years..." He also said that "Through her distinguished service in diverse areas, she has displayed outstanding management skills with wide experience and expertise in socio-economic affairs and development issues."[SUP][11][/SUP] According to The New York Times,
Bosi wake alimwagia sifa sasa hayo majungu yenu mmeyapata wapi?
 
By the way. Ni kweli Dr. Migiro alishindwa kazi au ndiyo yaleyale ya Watanzania na habari zao za vijiweni.

Wewe umpendaye utuambie fanikio moja to alilolifanyia UN. Ushahidi wa kushindwa kwake ni huu hapa:

Barely a week after the immediate former Deputy Secretary-General, Dr. Asha Rose Migiro returned to Tanzania after serving a five-year term at the helm of the world body, sources within the UN have hinted that poor performance and failure to fit "in the diverse and complicated body" were some of the reasons she was refused a contract renewal."The position of the Deputy Secretary-General is complicated and demanding; it requires somebody who is experienced to efficiently run the Secretariat. Her biggest challenge was not understanding the politics at the world body and creating alliances," the source told Vox Media in a telephone conversation.Dr. Migiro is understood to have approached the African Group, comprising 28 percent of all UN members, to ask for help in lobbying for her re-appointment, but her quest was rejected."She wasn't popular amongst diplomats; so nobody listened to her. You should also recall that her appointment was widely criticized."

In Dar es Salaam, a former senior ruling party secretariat member who worked closely with her in the same team before she assumed the UN post said her appointment was influenced by her personal relationship with President Jakaya Kikwete.It is understood that President Kikwete and UN Secretary-General Ban Ki-moon cultivated a close relationship when serving as foreign ministers for their respective governments.

When it came for Ban Ki-moon to canvass for votes toward his UN bid, Tanzania's vote was predominant; Dr. Migiro was apparently battered with Kikwete's vote.But when Ban Ki-Moon recently decided to review his entire team in a bid to control growing criticism of his team, Dr. Migiro had to go for "poor performance and lack of experience required of staff with the top UN mandate."
 
Angalizo dogo kwenye hiyo taarifa ya mtanzania. Mheshimiwa Waziri wa Fedha Dk William Mgimwa ni mbunge wa jimbo la Kalenga na siyo mteuliwa na Rais.

Hivi inawezekanaje hawa Mtanzania hawajui kuwa Mh Mgimwa ni ni mbunge wa Kalenga? Au ndio waandishi makanjanja?
 
upo uwezekano #ZZK au #LEMA akamchukua mmoja wapo ili apate huruma ya wananchi wa kigoma au arusha
 
Ushindwe UN halafu hapa TAnzania ndo upaweze!! Huyu ni mzigo mwingine kwa Taifa hili linaloaminishwa kuwa masikini!! Hao ambao huwa wanachaguliwa toka mataifa mengine mbona wanaweza!
Tofautisha kwanza kazi ya kuchaguliwa na kazi ya kuteuliwa kwenye ofisi za UN.

Soma tena bandiko langu ili uelewe nini ninachokiongelea kimantiki, otherwise, tukubali kutokubaliana.
 
According to Ban Kin-moon, "She is a highly respected leader who has championed the cause of developing countries over the years..." He also said that "Through her distinguished service in diverse areas, she has displayed outstanding management skills with wide experience and expertise in socio-economic affairs and development issues."[SUP][11][/SUP] According to The New York Times,
Bosi wake alimwagia sifa sasa hayo majungu yenu mmeyapata wapi?

Sijui vyuo vya Tanzania lakini vyuo vya nje ukifanya rejea (reference) ya wikipendia utafeli hilo somo
 
Huyu si alishindwa kule ambako kuna resources zooooote za dunia hii sasa huku tunakoaminishwa na chama cha kilaghai maccm kuwa tu masikini ataweza???!!! lakini kwa muda mfupi tutajua yu dhaifu kwa kiasi gani!
weka ushahidi si habari za uongo nachuki zisizo na mpango
 
Mhe. Raisi amefanya mengi mazuri kwa manufaa ya Watanzania wote. Na inaonyesha wazi anaipenda sana Nchi yake. Ni mzalendo wa kweli. Mungu Ibariki Tanzania. Mabadiliko sio kuwa waliotolewa au kuachwa walitenda dhambi au hawafai, bali ni kutafuta maendeleo au mafanikio kupitia kwa wengine. Mbona hata wacheza mpira upokezana kuingia uwanjani?.

nakuomba unitajie mambo yake mazuri kwa hii nchi ili nitoke kwenye fikra potofu na kuaminishwa kuwa Rais wetu mpendwa hajafanya lolote zuri.Ni ombi tu!
 
Nasikia Lema atakuwa waziri wa maandamano na vurugu

Tumewazoea wewe na "fulani" wako MMEZOEA KUSIKIASIKIA NA KUAMBIWAAMBIWA bila kufanya uchunguzi wenu mkaja na hoja zilizo kamili. Aibu!
 
Back
Top Bottom