kwani ye mjinga aende udsmAende kuhutubia pale Nkhuruma Hall UDSM kama alivo kuwa Nyerere...
Hana mvuto wala ushawishi tena mbele ya umma kwani kesha poteza political legitimacy ya kuwa kiongozi wa nchi.
Atahutubia taifa kupitia wazee wa dar es salaam Ijumaa wiki hii alasiri.
chanzo: ikulu
Mnao fuatilia hizi hutuba zake huwa anaruhusu maswali kutoka kwa watu huru?
rais hana msimamo ...kuna ubishi gani unaendelea ikulu? Mara nitahutubia leo ..mara ijumaa
toka jumatatu tunaambiwa kuna hotoba .....
Lini ataongea Na wazee wa kilimanjaro.
Aende kuhutubia pale Nkhuruma Hall UDSM kama alivo kuwa Nyerere...
Kwanini asihutubie Wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaaam campus ya Mlimani ??
Lini ataongea na wazee wa MBEYA kila siku wazee wa dar.
kwani ye mjinga aende udsm
hawezi kanyaga udsm hata kwa fimbo,wadada wanauza papuchi kwa kukosa mikopo wakati watu wamegawana hela ya umma escrowSi aende hata kuongea na wazee wa pwani kila siku wazee wa dar
inaudhi kweli.