Rais Kikwete kuhutubia Ijumaa

Rais Kikwete kuhutubia Ijumaa

Hana mvuto wala ushawishi tena mbele ya umma kwani kesha poteza political legitimacy ya kuwa kiongozi wa nchi.

Well said, very weak president ever. Mbona haongee na vijana, anakimbilia wazee ambao hawawezi uliza swali hata moja, by the way acha azubae hivyohivyo kwani hao vijana ndo watakitoa chama chake madarakani next year
 
Kwanini unamchagulia kundi la kuzungumza nalo we mbugila kweli.
 
rais hana msimamo ...kuna ubishi gani unaendelea ikulu? Mara nitahutubia leo ..mara ijumaa

toka jumatatu tunaambiwa kuna hotoba .....
..wezi wa ikulu wanajipanga jinsi ya kutoka kwenye sakata hili...ndio maana kuna kigugumizi....hiki kigugumizi cha ikulu kuchukulia wezi hatua kina maswali kuliko majibu...na watu makini(wakiwemo wafadhili) wanafatilia kwa karibu kigugumizi hiki...Btw...kuhutubia ama kutohutubia wala si hoja....hoja ni wezi kuchukuliwa hatua stahiki kwa mujibu wa sharia za nchi....
 
Hana mvuto wala ushawishi tena mbele ya umma kwani kesha poteza political legitimacy ya kuwa kiongozi wa nchi.

Well said, very weak president ever. Mbona haongee na vijana, anakimbilia wazee ambao hawawezi uliza swali hata moja, by the way acha azubae hivyohivyo kwani hao vijana ndo watakitoa chama chake madarakani next year
 
..... Huyu Rais Hana Jipya, Porojo Tu. Siwezi Kupoteza Mda Kumsikiliza.
 
Atahutubia taifa kupitia wazee wa dar es salaam Ijumaa wiki hii alasiri.
chanzo: ikulu
Ni wale wale wacheza bao na zuna wa magomeni na Ilala au anabadilisha safari hii?

Mwambieni hili taifa ni la vijana kwa sasa...
 
Msishangae sana akizungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa pekee na kunukuu takwimu za NAPE 84/16. Tujiulize(wale wadadisi) kwa nini uchaguzi uliopangwa kufanywa Jumamosi (kwa sehemu ambazo kulikuwa na mushkeli) ghafla unaamriwa kurudiwa Jumanne!
 
Madhara ya mwanaume kung'olewa tezi dume mtayaona hadharani hiyo Ijumaa.
Wanaume mwangalieni, msikilizeni kwa makini ili mjifunze, mjitunze, msichepuke msije mkang'olewa tezi dume
 
Back
Top Bottom