Rais Kikwete kuhutubia Ijumaa

Rais Kikwete kuhutubia Ijumaa

Azam atakuwa anamalizia ziara yake ya Uganda, sf sana
 
UKAWA toeni basi statistic za ushindi tujue, kwani tunaendelea kupata zilizochakachuliwa mwisho we are confused.Ijumaa ndiyo tutapata takwimu mseto kabisa
 
Anajua swala la escow limeshapoa kwenye masikio ya waTz,sasa ndo anaona mda mwafaka wa kuwapalazia kidogo ili aonekane alikua analifuatilia uku akichagua wazee maana anajua hawajafatilia sana hiyo ishu kama vijana
 
Hamna jipya hapo mazee make ccm na kiongozi wao huyo hawana la kuelezea wala kujitetea mbele za umma
 
Tenzi dume hana mvuto, nothing will happen at that friday, it is all about laughing laughing..! nchi ina mazonge kibao shida ya maisha yeye ata akikaa juu ya jukwaa anakenua tu. yaan namchukia hadi bac
 
JK atatoa maamuzi magumu sana kwa maslahi ya Taifa Ijumaa.
 
Unataka maamuzi gani au unataka akufukuze nchini kutokana na uharifu wako.
Hivi wewe umejitoa ufahamu au huelewi tu? Si ukae kimya kama Juliana Shonza na MTLela Mwampamba tu kieleweke. Unakera sana kijana mwenzangu
 
Last edited by a moderator:
ImageUploadedByJamiiForums1418820979.140022.jpg

Mbona inasemekana ni leo??
 
... Atasema Muhongo Sijaona Alipohusika, Kwahyo Anabaki Wazara Yake. Makofi( Kwaaakwaaa)
 
Nataka nione watanzania watasemaje pale mkuu atakaposema "pesa za escrow hazikuwa za umma" km ilivyo kwa msimamo wa washauri wake.
 
...! Huyu Rais Ni Mubaguzi, Anaongea Na Wazee Tu Tena Wa Dar Na Dodoma. Kwann Asiongee Na Vijana Wa Chuo Kikuu?
 
Back
Top Bottom