Rais Kikwete arejea, Selasini na Hamad Rashid wampokea

Rais Kikwete arejea, Selasini na Hamad Rashid wampokea

Wewe na wenzako endeleeni kupiga porojo.Mbunge wa Rombo kupitia Chadema, Joseph Selasini anajua umuhimu wa Rais Kikwete.Hongera Joseph Selasini kwa kuacha kazi zako na kwenda kumpokea Rais.
Mkuu kumbe upo?
 
jk ni mtu wa wote hasa wenye akili timamu kama selasini na hamadi rashidi.
 
Hata mimi ningeacha kazi kwenda kumpokea Rais, ili mradi nimepima kiwango cha muda nitakachopoteza kwa kufanya hivyo. Huenda hao wabunge wanaishi Sitakishari, ambapo ni dakika tano tu unakuwa umefika airport, so ukipata nafasi unaenda tu, afterall unajifunza mengi ikiwa ni pamoja na kujionea ukubwa wa msafara wa Rais, ili hata ukija kuhoji, unakuwa na reference uliyoishuhudia kwa macho
 
Selasini 2015 asahau kurudi bungeni
 
huyu selasini tokea atetee kuongezwa kwa posho za wabunge akishirikiana na wabunge wa ccm nilimuona bonge la galasa..,hadi leo hajarudisha imani yangu na ndio kwanza namuona wa ovyo kama aliacha shughuli zake na kwenda airport,for starters alitakiwa kuwa rombo,hapa daslam anafanya nini?
 
jk ni mtu wa wote hasa wenye akili timamu kama selasini na hamadi rashidi.
mwenyeakili haambiwi ona, hakuna Rais aliyewahi kuwapa uhuru wananchi wake kama J.k hongera sana kwa kuwa mtu wa watu ila angalia tusikulazimeshe kuwa bandidu. i solute U Jk.
 
Angeonekana JOHN SHIBUDA hapo tungesema MAMRUKI huyo ndani ya chadema., haya JOSEPH SELASINI naye huyo kaenda kupanga foleni ya kumpokea mh. Rais sijui naye ataitwaje??
 
huyu selasini tokea atetee kuongezwa kwa posho za wabunge akishirikiana na wabunge wa ccm nilimuona bonge la galasa..,hadi leo hajarudisha imani yangu na ndio kwanza namuona wa ovyo kama aliacha shughuli zake na kwenda airport,for starters alitakiwa kuwa rombo,hapa daslam anafanya nini?
Huyu mchaga kwa noti ni balaa. Alisababisha kifo cha mama yake kwa kung'ang'ania kuendesha gari lake ili atafune pesa anayolipwa kama ujira wa dereva. Count him out.
 
Angeonekana JOHN SHIBUDA hapo tungesema MAMRUKI huyo ndani ya chadema., haya JOSEPH SELASINI naye huyo kaenda kupanga foleni ya kumpokea mh. Rais sijui naye ataitwaje??
Kuna mashetani wengi huku kuliko hata huyo Shibuda. Mijitu inapima upepo. NCCR ya Mrema ilipovuma, mengi yalikimbilia huko. Ilipoyumba yakapima upepo, yakaona CDM kunalipa, yakatuvamia. Yapo mengi tu. Selasini, Anton Komu... mengi tu machumia tumbo, na utashangaa yananyaka nyadhifa fasta fasta sijui kwa kigezo gani.
 
Wewe na wenzako endeleeni kupiga porojo. Mbunge wa Rombo kupitia Chadema, Joseph Selasini anajua umuhimu wa Rais Kikwete. Hongera Joseph Selasini kwa kuacha kazi zako na kwenda kumpokea Rais.
Unakumbuka kuna wakati Dr Slaa alikwenda kumpokea Professor Lipumba uwanja wa ndege?
 
RITZ,kweli wewe hauna kitu kichwani,na unamzarau mbunge,na ni kejeli kwa mbunge,yani unasema eti, unampongeza mbunge kwa kuacha kz yake ya kuwahudumia wapiga kura wake na kwenda kumpokea jk! ko kusalimiana na jk ni bora kuliko hata familia yake? nkwambie k2 hata watoto wa shule ya msingi huwez kuwasikia wanaenda kumpokea kiongozi yeyote yule labda kwa lazima! vp mbona nyie lumumba fc hamjaenda? c mmeona ni upuzi! ridhiwan mwenyewe mwanae hajaenda.
 
Baba karudi katoka kuhemea vibaba vya unga wakati nyumbani kwake kuna ardhi yenye rutuba, mito isiyokauka, misitu, madini - mpaka gesi! bandari.
Kuombaomba na uvivu ni tabia mbaya sana ya makabila ya pwani waliyodanganywa na waarabu.
Anatia aib
 
Back
Top Bottom