Selasini lazima awe miongoni mwa fugitive wa CHADEMA baada ya ZITTO.Wewe na wenzako endeleeni kupiga porojo.
Mbunge wa Rombo kupitia Chadema, Joseph Selasini anajua umuhimu wa Rais Kikwete.
Hongera Joseph Selasini kwa kuacha kazi zako na kwenda kumpokea Rais.