Rais Kikwete arejea, Selasini na Hamad Rashid wampokea

Rais Kikwete arejea, Selasini na Hamad Rashid wampokea

Wewe na wenzako endeleeni kupiga porojo.

Mbunge wa Rombo kupitia Chadema, Joseph Selasini anajua umuhimu wa Rais Kikwete.

Hongera Joseph Selasini kwa kuacha kazi zako na kwenda kumpokea Rais.

silly comment.....vp akija rais mkristo utamtetea?
 
Hawana kazi za kufanya.

Ni jambo la ajabu Mbunge kuacha kazi zake na kwenda kufanya ujinga huu.Labda kama walikua Airport Muda huo lakini kwa mtu anayejali Muda hilo ni suala la kipuuzi

Mungu wangu msaidie huyu punguwani.
 
Huyo jamaa mwenye safari suit ya bluu hapo kwenye shavu la kushoto pana nini?ama ni picha? hao wapigwe tu tumechoka!
 
JK amerudi,sasa zamu ya Pinda ,au Shein au Bilali kuruka nao majuu kuenjoy matunda ya uhuru
 
Alipaswa kusindikizwa kwa mawe...



There's no sababu ya rais kusindikizwa na kadamnasi yote ya serikali. Huku ni kuongeza foleni zisizokuwa na sababu barabarani na kuchelewesha watu kwenye shughuli zao kwanza sioni umuhimu wa hizo safari zake huko nje zaidi ya kutalii tu.
 
Alipaswa kusindikizwa kwa mawe...

kwahiyo anachofanya Josephine na Slaa huko Japan na kumtia mzee wa watu ujinga sasa anaandika mipasho humu ndo mambo ya maana? kamuangalie binti wa kihaya kule fb alivyotupia mipicha ya shopping_eti anajibu acha tutumie tumetumia muda na rasilimali zetu ku_invest CDM, and after all mume wangu analipwa kiduchu_je huyu akipewa nchi itakuwaje? eti anapinga kuonekana kupanda basi kwenda Mwanza_kweli wewe Mshumbusi umefikia hatua ya kuona kupanda basi ni kashifa? ama kweli_bora ya Kikwete hali hiyo ya mitoko alikuwa kishaizoea kitambo labda ninyi watoto wa juz msiofaham kuwa JK ni kiongoz wa juu tangia enzi za Nyerere _acheni chuki za kibwege, mwaka huu pekee mikopo kwa wanavyuo vikuu Bilion 360 , barabara kula kona ya nchi zinatengenezwa, Katiba inatengenezwa, Ruzuku za vyama mnapewa na ninyi mnaenda shopping_mkirudi mmeishiwa mnaanza kelele weeeeee, TZ bana kila mtu mjuaji
 
Hawana kazi za kufanya.

Ni jambo la ajabu Mbunge kuacha kazi zake na kwenda kufanya ujinga huu.Labda kama walikua Airport Muda huo lakini kwa mtu anayejali Muda hilo ni suala la kipuuzi

Mwana CHADEMA makini ajitokeze Rombo 2015 kuuondoa ----- huu!Selasini is outdated politician ambaye hajitambui!

MB Selasin kuwepo pale ni kielelezo kuwa anaunga mkono kwa JK kukaa USA kwa nusu mwezi akitumbua pesa zetu bila tija yyt ile!
 
Si mbaya akirudi ili apate muda wa kuwasikia akina Dr. na Mbowe wanafanya nini wakiwa nje..itakuwa ni zamu ya kilio ..kwani akiw anje muda wote ni kujichekesha tuu huku akiwa carried away na thrills za marekani...sasa atawasikia CDM kwa masikio na kuwaona kwa macho ya watanzania.
 
lipi kati ya haya Ben ni jambo la kipuuzi kwenda kumpokea raisi wa nchi au kwenda kuwawekea wenzio sumu?

Hivi Ben angekuwa kweli kafanya jaribio la sumu..kweli hiyo si ingekuwa dili ya kova ,mwigulu na maCCM mengine..walivyo desperate ktk kutafuta ugaidi....?kweli ni maccm tuu ndio majina kw akiasi ch akudanganyika kwa uongo waliobuni wenyewe.
 
Hawa jamaa wanategekackirahisi hivyo? Mfumo ulijua tayari kuna tatizo ktk safari za mkuu...wiki mbili na kwa mssfara huo si mchezo ( hasa taifa maskini kama tzn). Ili kupunguza hoja mkizo Hamad (mbunge wa mahakama....akiwa anelindwa na serikali ya jk) akabidi alipe fadhira ( akiwa anajua au hajui). Huyo mwingine sina la kusema..only my hears to hear from you
 
mkuu wa kaya safari ijayo unaendawapi? lakini kabla hujaenda tunaomba ushugulikie swala la katiba kwa kutosaini ili hata ukiondoka utuache na amani
 
Hawana kazi za kufanya.

Ni jambo la ajabu Mbunge kuacha kazi zake na kwenda kufanya ujinga huu.Labda kama walikua Airport Muda huo lakini kwa mtu anayejali Muda hilo ni suala la kipuuzi
http://global-4-lvs-seele.opera-mini.net/hv38-08/17178/0/-1/api.ning.com/256486729/b4.jpg
Ndo upinzani tuutakao??je angekuwa ameenda kumpokea baba Jr,ingekuwa muhimu,tuwe hatupendi au tunapenda alienda kumpokea ni Rais,ndomana upinzani umeungana kumuomba hasitie sain mswada,tupingane kwa mambo ya muhimu!naeshimu mawazo yako lakini
 
Baba karudi katoka kuhemea vibaba vya unga wakati nyumbani kwake kuna ardhi yenye rutuba, mito isiyokauka, misitu, madini - mpaka gesi! bandari.
Kuombaomba na uvivu ni tabia mbaya sana ya makabila ya pwani waliyodanganywa na waarabu.
Anatia aibu!

kuombaomba ni tabia ya wenyeji wa mkoa wa dom
 
Back
Top Bottom