Rais Kikwete arejea, Selasini na Hamad Rashid wampokea

Rais Kikwete arejea, Selasini na Hamad Rashid wampokea

Nilichokisoma hapa na kukielewa vizuri ni kwamba, selasini hajaenda kumpokea rais. Alikuwa tu kwenye safari zake wakagongana.

Hata kama ni wewe, ukikutana na kiongozi wako unapaswa usahau tofauti zenu na kutoa heshima zote. Sioni ubaya uko wapi.

Ubaya ni CDM walisema hawamtambui.na walitoka Bungeni wakati akilihutubia.
 
Kama hawana kazi waje kunipokea ubungo saa 4
 
Back
Top Bottom