Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
mwanri anaendelea , makongoro anaendelea, olenangolo anaendelea mifugo, mahadh malimu anaendelea, omi mwalimu anaendelea, nyarandu mali asili na utalii, simna chaweni nishati na madini atashughulikia nishati, naibu waziri wa fedha kachaguliwa mchana huu, makamba atakuwa naibu waziri wa sayansi na technoligy, angera kailuki katiba na sheria, fedha ameweka wakina mama watupu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom