Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
sada ameteuliwa leoleo ubunge leoleo uwaziri hii kali.
 
mi naona ni walewale tu hakuna aliyebadilishwa wala kufukuzwa
 
Hahahahaah! Eti Malima kapelekwa kilimo, january makamba kaula naye..
 
yaani unateuliwa mchana kuwa mbunge, jion naibu waziri
 
Wana jf hivi ni kwanini hatuthubutu kuwa na jambo jipya?ama kweli mkuu wa kaya kachemka
 
Baraza jpya la mawaziri linatangazwa live on TBC and ITV now, full list itakuwa uploaded soon wadau
 
mwanri anaendelea , makongoro anaendelea, olenangolo anaendelea mifugo, mahadh malimu anaendelea, omi mwalimu anaendelea, nyarandu mali asili na utalii, simna chaweni nishati na madini atashughulikia nishati, naibu waziri wa fedha kachaguliwa mchana huu, makamba atakuwa naibu waziri wa sayansi na technoligy, angera kailuki katiba na sheria, fedha ameweka wakina mama watupu.
 
JF noma, Simbachawene ilivuja tangu jana...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom