Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Mimi sina tatizo na hawa wapya,ila wale waliotuumiza watafanywa nini au ndo tunasubiri kuunda tume na kuacha sheria ichukue mkondo wake?
 
amemaliza jamaa kauzu kweli haina kuremba no maswali.
 
Simbachawene Simbachawene. Sijipigi ban Matola upo.
 
Last edited by a moderator:
tumwagieni hapa hiyo "first eleven" tafadhali wengine redio hazikamati huku porini
 
J Makamba ...naibu waziri????? JK Fadhila hizi haya bana we ndiye mwenye rungu..
 
Cabinet ya JK tumeiona, Hebu tuwajadili waliotemweshwa mzigo!
 
Simbachawene Simbachawene. Sijipigi ban Matola upo.
 
Last edited by a moderator:
ovyo ovyo ovyo ovyo ovyo Nyalandu Maliasili naibu?????????????????????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom