MkimbizwaMbio
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 867
- 331
Waziri wa Sheria na Katiba
Nimependa hiyo miondoko yako kwenye Avata
Waziri wa Sheria na Katiba
Jiandae jioni kwa ban kama c kweli
Wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo wameitwa kuwepo Ikulu Magogoni ifikapo saa 9:00 alasiri,tukio ambalo linatafsiriwa kuwa huenda ni kutangazwa kwa baraza jipya la mawaziri.
View attachment 53421
Wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo wameitwa kuwepo Ikulu Magogoni ifikapo saa 9:00 alasiri,tukio ambalo linatafsiriwa kuwa huenda ni kutangazwa kwa baraza jipya la mawaziri.
Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye
Source: Wahariri waitwa Ikulu
..acha hizo ukisikia mtu muongo ni wewe umejuaje,watu wengine mnastahili kutukanwa ila tunaogopa ban ila yakitufika shingoni tutawatukani kama ni ban poa,hamna kazi za kufanya
Kwa nini iwe ni kutangaza na isiwe ni kuvunja Baraza la Mawaziri. Lililopo lilivunjwa lini ?tukio ambalo linatafsiriwa kuwa huenda ni kutangazwa kwa baraza jipya la mawaziri.
Wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo wameitwa kuwepo Ikulu Magogoni ifikapo saa 9:00 alasiri,tukio ambalo linatafsiriwa kuwa huenda ni kutangazwa kwa baraza jipya la mawaziri.
Wameitwa kwa njia ya simu au barua? Kama barua weka hapa tuone. Mbona Invisible hajatuambia hilo najua yeye pia huwa anapata mialiko kama hii kwa kuwa JF huwa ndicho chombo cha kwanza kabisa cha habari ambacho hutangaza taarifa za Ikulu.