Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Mwanaume alikuwa mzee wa Ruksa aliyeita mawaziri na baada ya dakika chache wakajikuta hawana kazi ndipo wengine walipokimbizwa ICU. Huyu JK analiogopa Baraza la mawaziri alilochagua mwenyewe!!!!

Sijakuelewa, ina maana JK sio 'Mwanaume'...
 
Afya,Mali Asili,fendha,Uchukuzi,ndio wanao ondolewa na kuwekwa wengine,hutaki gombea ubunge uje kupata Uwaziri.
 
Unaweza kuta anaaga kwenda Camp David kwenye mnuso...

Na kuwahimiza waandishi habari wawaeleze wadanganyika umuhimu wa mnuso huo!!
 
Mwito huu nitauona wa maana kwa watanzania kama tu amatoa sentensi ifuatayo au inayofanana na hi

i jk ninalivunja rasmi baraza la mawaziri kuanzia leo. Namtangaza ndugu xyxyxyxy kuwa waziri mkuu mpa wa jmt na namuomba mama spika kuitisha kikao cha bunge cha dharura ili kumthibitisha then ntaunda upya baraza
 
Hapo sasa
Nahofia uwepo wa Pinda tu kwenye baraza hilo!
Pinda ni stooge!...fullstop!

Kwa hali ilivyo Pinda lazima yupo tu. Kama Pinda hayupo basi leo si siku ya kutangaza baraza hilo kwani nadhani kama PM anapigwa chini, anaambiwa yeye kwanza, Bunge linaitwa na kupitisha jina la MP mpya alafu Rais anakaa na PM mpya kupnaga baraza la mawaziri.
 
kuna wale wanabodi wanao anzisha thread hata kama hawako live naona ndio wanakaribia keyboard zao wakiulizwa swali moja wanaingia mitini kwa kifupi mithread mingi hatutaki Invisible andaa mouse yako kwaajili ya kutoa ban
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom