Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
anasema wizara ya madini ndo ilikuwa na shida kidogo kufikia mwafaka.
 
Wizara ya Nishati itavunjwa:

Madini
Nishati
Mafuta na Gas?

manaibu 2
 
Mbona JK anaongea kama mtu ambae hana imani? hata sura yake inaonyesha hivyo....something wrong?
 
Ameanza kuongea tbccm, anasema atawabadisha wawili kati ya wale wanaotuhumiwa.
 
Mawaziri wanawajibika kwa makosa ambayo hawakuyafanya!...anawatetea!
 
naona anaongea juu ya kuwajibishwa kwa mawaziri wakati hawahusiki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom