Usicheze na mfumo
kubadilika, vichochoro na viupenyo vyote vya kuuza yale makitu ya tembo
huzibwa. Hapo kutakuwa na maisha kwa watu kama akina Kinana?
sijui una maana gani unavyoandika hivyo? au mnaanzisha mada ili kuchokonoa watu?
Mbeya tulimpopoa mawe
Si mataahira nyie?
mkuu Lizaboni pole kwa KUCHOKONOLEWA
kama mmemchagua mbunge mvuta bangi, sishangai kuona mkimpopoa kwa mawe rais wetu
najua mnamkubali sana JK ila ujinga wa dr slaa ndo umewafanya muwe mazezeta
wewe uli soma unashindwa kung'amua hata linalo onekana,ukiamini siasa ni ugomvi kaa hivyo hivyo..simpaka miungu wenu wenu Slaa,Mbowe,Lema waseme ndio muaminiUmesoma shule kweli wewe? Kuandamana ni zao la demokrasia. Usiwe na ubongo wa bata
watu wakizoea kulazwa kifudifudi bana, kila neno wanalitafsiri kutokana na matendo yao
Ndio maana tuna maisha bora
Mkuu, hao ni wamwagia watu tindikali waogope km ukoma
Rais wa Tanzania siyo rais wa CCM , wewe mbona kila siku unazidi kuwa mshamba?
Tatizo la chadema ni uharamia wao kulisha watu sumu, kuwamwagia tindikali na kupiga askari na hata kuharibu maki za bunge
Tatizo la chadema ni uharamia wao kulisha watu sumu, kuwamwagia tindikali na kupiga askari na hata kuharibu maki za bunge