Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Kama unafuatilia yanayojilia mleta mada amefikisha ujumbe ulio wazi kabisa, vinginevyo kama hufuatilii mambo yanavyokwenda nchini na matamko ya huyu Tendwa basi sitashangaa kwa bandiko lako.
Wakati vyombo vya habari TVs vimekariri habari hiyo hiyo halafu we bado unadai nukuru.......
Ni kweli hata mimi ninamuunga mkono mleta mada tena ametoa uchambuzi ulioenda shule na ameunganisha matukio yote muhimu kwenye saga la msajili wa vyama.Huyu Jamaa Kiranga anayepinga anaonekana ni Kilaza sana ama ni mtu wa Karibu wa John Tendwa.