Rais Kikwete amuumbua John Tendwa

Rais Kikwete amuumbua John Tendwa

sasa na wewe kama hutaki kuamini si uachane na hii habari na uende ukatafute habari zenye nukuu, acha waliosikia wachangie unaharibu mtiririko wa majadiliano na lazima wewe ni kada ambao mna masikio lakini hamsikii na mna macho lakini hamuoni.

Kuamini sio suala la kutaka ni suala la facts and evidence mkuu

Philosophy ilianza na positivism...ikaishia kwenye convensionalism na ndio suala la objective truth linavyotaka mambo yawe sasa kama wewe ni kundi la kuchukulia mambo kama yalivyoletwa na mtoa mada huo ni uchaguzi as well jua hapa kuna vijana wa sekondari na wa chuo pia ambao wanajifunza mengi kupitia sisi tuliopevuka sasa kama baadhi yenu mnatetea uandishi wa aina hii it is sad......si lazima wote tukubaliane for the sake of political influence and inclinations a as you think and believe..........obsession is a bad disease you know!!!!!!

Ukweli utabaki kuwa ukweli....na kuna jinsi ya kuandika to an extent that ukweli ukabaki unajitegemea bila hata ya muandishi kuwepo na kujazia chumvi hapa na pale ......truth should be objective and independent....uzi husika unakosa sifa hizi kuu and thus it is exposed to criticisms
 
Hapa umejipambanua kwanini umekesha siku mbili kubishana hapa JF.Kweli unatumika.

Vijineno vya viroja kutoka aso hoja.

Kama ninatumika basi ninatumika na nguvu za ukweli dhidi ya juhudi za uzushi na kaulizembe zisizohakikika.
 
Kati yangu mie ninayetahini kuondoa uhaini na muandishi anayeleta habari nusunusu nani mvivu?

Tutajuaje kwamba kauli ya Tendwa haikuwa na qualification ambayo haijatajwa hapo kwenye habari?

Huu mwaka 2012, uchaguzi ni 2015, unataka tuamini kwamba Tendwa kapiga marufuku mikutano yote ya siasa mpaka uchaguzi ujao? No qualification, no explanation?

tendwa alipiga marufuku na vyombo vya habari ikiwemo itv vilimnukuu,tena alienda mbali hadi kusema atakifuta kwenye daftari la vyama vya siasa.
anyway tumesikia mkakati wa kujibu hoja hata kama ziko valid naona kazi sekretariat mpya
 
Direct quote ni direct quote, period. Baada ya hapo subjectivity of opinions and judgement kuhusiana na hiyo direct quote ndiyo vinaweza kufuatia.

Hapo ndipo ninapotatizwa na direct quotes za viongozi wa Bongo kama baada ya hapo kuwe na "subjectivity of opinions and judgement"

Ya nini sasa hizo subjecivity of opinions etc , wakati umesham quote? Si tushikilie tu quote yake, period!?
 
Kuna siku Joshua Nassari alinukuliwa akisema jambo kuhusu kuwa hatashangaa kama siku moja raisi wa Tanzania akitokea mkoa wa Kigoma maana mkoa huo umeonyesha kuzalisha watu wenye vipaji mbalimbali.

Video ya alichokisema ikawekwa hapa. Kilichofuatia ni kila mtu kuja na tafsiri ya kile alichokisema hadi wengine kufikia hatua ya kusema kuwa eti alikuwa anaweka ki(vi)gezo kuwa raisi huyo lazima atokee mkoa wa Kigoma.

Sasa hapo utaona kuwa licha ya kuwepo kwa video evidence ya kile alichokisema, hicho alichokisema kilikuwa subject to people's perceptions, likes and dislikes, feelings, opinions, etc.

Utata haukuwepo kwa kile alichokisema verbatim maana ushahidi ulikuwepo. Utata ulikuwepo katika tafsiri ya alichokisema.
 
Kati yangu mie ninayetahini kuondoa uhaini na muandishi anayeleta habari nusunusu nani mvivu?

Tutajuaje kwamba kauli ya Tendwa haikuwa na qualification ambayo haijatajwa hapo kwenye habari?

Huu mwaka 2012, uchaguzi ni 2015, unataka tuamini kwamba Tendwa kapiga marufuku mikutano yote ya siasa mpaka uchaguzi ujao? No qualification, no explanation?

tendwa alipiga marufuku na vyombo vya habari ikiwemo itv vilimnukuu,tena alienda mbali hadi kusema atakifuta kwenye daftari la vyama vya siasa.
anyway tumesikia mkakati wa kujibu hoja hata kama ziko valid naona kazi ya sekretariat mpya
 
Rejea post yangu ya hapo juu.
 
Kuna siku Joshua Nassari alinukuliwa akisema jambo kuhusu kuwa hatashangaa kama siku moja raisi wa Tanzania akitokea mkoa wa Kigoma maana mkoa huo umeonyesha kuzalisha watu wenye vipaji mbalimbali.

Video ya alichokisema ikawekwa hapa. Kilichofuatia ni kila mtu kuja na tafsiri ya kile alichokisema hadi wengine kufikia hatua ya kusema kuwa alikuwa eti alikuwa anaweka ki(vi)gezo kuwa raisi huyo lazima atokee mkoa wa Kigoma.

Sasa hapo utaona kuwa licha ya kuwepo kwa video evidence ya kile alichokisema, hicho alichokisema kilikuwa subjective to people's perceptions, likes and dislikes, feelings, opinions, etc.

Utata haukuwepo kwa kile alichokisema verbatim maana ushahidi ulikuwepo. Utata ulikuwepo katika tafsiri ya alichokisema.

Precisely.

Point ya kupata direct quote/ video ni kuondoa utata wa nini kilisemwa. Kama kuna utata wa tafsiri - ambao si haba katika mambo haya kwa sababu wengine hata mtu akijikojolea jukwaani wote tuone watasema alikuwa anatoa maji ya baraka- utakuja baadaye, sawa utakuwepo, lakini angalau utata wa nini kilisemwa unaondolewa. Mna converge kwenye uchambuzi zaidi.

Sio watu hamna hata quote moja kati ya ya Kikwete na ya Tendwa, mmepewa uchambuzi ambao haijulikani kama haujasukumwa na ushabiki wa chama, hamjui context wala nuance, hamjui tone wala shade, hamjui reasoning wala rationale, mnashabikia kushabikia?

How adolescent!
 
umuhimu wa choo unapokuwa na haja, Tendwa ndivo anavyotumiwa na ccm
Mwenyekiti wa chama cha
Mapinduzi Rais Jakaya Kikwete amewataka wajumbe wapya wa NEC wa CCM
kutokulala bali kuzunguka kila kona ya nchi kufanya mikutano ya
hadhara,kuingiza wanachama wapya na kueneza sera za chama hicho.

Rais Kikwete amesema kazi hiyo ikamilike kabla ya uchaguzi wa serikali
za mitaa 2014 kisha iendelee mpaka uchaguzi mkuu wa 2015.Rais Kikwete
amesema hiyo ndiyo njia pekee itakayokipa ushindi mkubwa chama hicho
kwenye chaguzi zijazo.Rais amesema kamwe chama kisichozunguka kwa
wananchi kuhutubia na kueneza sera lazima kitaangamia.

Itakumbukwa ni hivi karibuni Msajili wa vyama vya siasa nchini John
Tendwa alitishia kupiga marufuku chama cha Demokrasia na
Maendeleo-CHADEMA kuendelea na operesheni yake ya M4C kwa kile alichodai
amesitisha operesheni zote mpaka nyakati za uchaguzi.Alisema akiwa kama
msajili wa vyama kamwe hatakubaliana na operesheni za CDM za kujijenga.

Naye Mhadhiri wa chuo kikuu cha DSM Dr Benson Banna alimuunga mkono
Tendwa kwa kusema Operesheni ya CDM ya M4C haikubaliki kwani ni
kuwasumbua wananchi na kuwanyima muda wa kufanya kazi na kuwataka CDM
wasubiri kipindi cha uchaguzi.

Kama vile ni mpango mahususi ulikuwa umepangwa nayo Kamati ya kuchunguza
kifo cha Daudi Mwangosi maarufu kama kamati ya Nchimbi iliungana na
Tendwa katika moja ya mapendekezo yake kuitaka serikali kupitisha sheria
ya kuzuia mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa mpaka nyakati za
uchaguzi.Pendekezo hilo lilisema shughuli zote za siasa baada ya chaguzi
zihamie bungeni.

Kauli ya Rais Kikwete ya leo imeonekana waziwazi ni kupingana na kauli
ya msajili wa vyama vya siasa John Tendwa na Msajili huyo ameonekana
wazi hafai kuendelea kushikilia wadhifa huo.

Source: ITV/Chanel Ten.
 
Kuamini sio suala la kutaka ni suala la facts and evidence mkuu

Philosophy ilianza na positivism...ikaishia kwenye convensionalism na ndio suala la objective truth linavyotaka mambo yawe sasa kama wewe ni kundi la kuchukulia mambo kama yalivyoletwa na mtoa mada huo ni uchaguzi as well jua hapa kuna vijana wa sekondari na wa chuo pia ambao wanajifunza mengi kupitia sisi tuliopevuka sasa kama baadhi yenu mnatetea uandishi wa aina hii it is sad......si lazima wote tukubaliane for the sake of political influence and inclinations a as you think and believe..........obsession is a bad disease you know!!!!!!

Ukweli utabaki kuwa ukweli....na kuna jinsi ya kuandika to an extent that ukweli ukabaki unajitegemea bila hata ya muandishi kuwepo na kujazia chumvi hapa na pale ......truth should be objective and independent....uzi husika unakosa sifa hizi kuu and thus it is exposed to criticisms

mtu akishakwambia amesikia ni wewe kukubaliana naye au ukatae kukubaliana naye na ndio maana nikakueleza tafuta mada zenye nukuu. na ni kwambie kwa faida yako kusikia alichosema mhusika na kukieleza ni ukweli ambao ni objective na independent na wewe unaoupinga ndio unatakiwa utoe maelezo yatakayopinga ukweli huo.
 
Objective and independent truth.........hapo kwenye red and bold kama unamaanisha unachokisema ndo maana Qualitative findings zina quotes in Italics na source kama Focused Group Discussion au Indepth Interview hata Narration zinataka quotes sio free mental arguments deduced from the past................

Kama una hoja weka hapa

Unasema usililijua na kama unalijua basi umeamua kubisha...........
 
Back
Top Bottom