OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Mkuu Olesaidimu
Wakati mwingine nyie wana CCM muwe munakubali ukweli.Mlimuunga mkono sana Tendwa hapa jamvini alipotoa ile kauli ya kihuni kuzuia CDM.Leo JK kaeleza ukweli kuhusu kazi ya chama cha siasa kinapaswa kufanya nini.
Sasa unalalamika nini mkuu wangu?
Kaka fmpiganaji mimi sina chama ninachokishabikia.......wala ninachokifuata....mimi Taifa kwanza sera za chama baadae
Uandishi wa mtu kukusanya maneno na kuweka hitimisho si wa kuushabikia sana kwa kipindi hiki yeye angeuliza swali kwa mfano ili watu watoe maoni au angeandika tu halafu sisi tungejua kama kamuaibis ha au la.......
I respect neutral reporting.......just that