Rais Kikwete amuumbua John Tendwa

Rais Kikwete amuumbua John Tendwa

Direct quote ni direct quote, period. Baada ya hapo subjectivity of opinions and judgement kuhusiana na hiyo direct quote ndiyo vinaweza kufuatia.
Nachosema ni kuwa direct quote also constitute subjectivity. Wapi utapata subjecvity. How do know kuwa statement ni objective au subjective?
 
Mleta maada yupo katika kiwango cha juu katika kup-resent issues. Maelezo yako ni ya kiwango cha chini cha uandishi ya "Kiranga amesema", kumbe mwandishi yupo juu katika analysis na exploration, kup-resent relationship ya ideas. Uko kwenye basis level ya thinking wakati mwandishi yupo kwenye advanced level hasa kwa great thinkers.

Asante sana mkuu kwa maelezo yako Mujarabu.
 
Tatizo unaangalia macho ya watu wakati mie najikita katika kutahini. Mie hata JF nzima ikinipinga lakini nikiwa na convictions zangu, sina shida.

Wewe unafuata wapi kuna watu wengi, hujitambui mwenyewe, hujui nani ana elevate mjadala.

Sijaona direct quotes bado, hujajenga hoja.
Kama wewe una-convictions zako kwani wengine hawana za kwao? Kwa nini unafikiri watu lazima wafuate convictions zako?
 
Nachosema ni kuwa direct quote also constitute subjectivity. Wapi utapata subjecvity. How do know kuwa statement ni objective au subjective?

How do you know kuwa statement ni objective au subjective....well...ndiyo umuhimu wa direct quote sasa. Mimi nije hapa na kusema Kikwete kasema hivi na vile bila direct quote halafu watu waanze kutoa maoni yao huoni kwamba haiji? Utatoleaje maoni jambo kwa ukamilifu kama hata ninachodai Kikwete kasema sina nukuu yake?

Sasa hapo huoni umuhimu wa direct quote? Je kama hata Kikwete hajasema hicho ninachodai kasema? Hili jambo mbona ni rahisi sana lakini inaonekana kama vile watu hamlielewi? Ni hamlielewi kweli au basi tu mnaleta ligi zisizo na kombe?
 
Nani anaye-define seriousness ya claim, wewe?. Na kwa nini definition yako iwe sahihi?. Kwa mwingine ni moderate. Kwa hiyo hitaji la direct quote linategemea nani ana-define terms na siyo lazima tufuate definition yako.

Kusema rais wa nchi anaendekeza kumuumbua msajili wa vyama vya siasa ni serious claim kwa sababu inaingilia habari nzima ya uongozi bora. Swali siyo kwa nini definition yangu iwe sahihi, swali ni kwa nini definition yangu isiwe sahihi kwa minajili hii niliyoieleza.

Huyo atakayeona hili ni moderate ana mengi ya kuwa moderate about. Not discounting the stoutness of his mental constitution.
 
Nukuu zinasaidia si tu katika kuelewa muktadha wa kilichosemwa bali pia huwa ni ithibati kwamba kweli kinachodaiwa kusemwa kilisemwa kama kilivyo na si uzushi wala tafsiri ya mleta mada.
Kwani kilichowekwa kwenye direct quote hakiwezi kuwa uzushi?
 
Mleta maada yupo katika kiwango cha juu katika kup-resent issues. Maelezo yako ni ya kiwango cha chini cha uandishi ya "Kiranga amesema", kumbe mwandishi yupo juu katika analysis na exploration, kup-resent relationship ya ideas. Uko kwenye basis level ya thinking wakati mwandishi yupo kwenye advanced level hasa kwa great thinkers.

Kwa hiyo kuandika kwa kupuyanga tu bila direct quote ndo uandishi wa hali ya juu? Na kudai verification tangu lini kukawa kitu cha kubezwa kwa wanaojua kutafuta ukweli?
 
Kusema rais wa nchi anaendekeza kumuumbua msajili wa vyama vya siasa ni serious claim kwa sababu inaingilia habari nzima ya uongozi bora. Swali siyo kwa nini definition yangu iwe sahihi, swali ni kwa nini definition yangu isiwe sahihi kwa minajili hii niliyoieleza.

Huyo atakayeona hili ni moderate ana mengi ya kuwa moderate about. Not discounting the stoutness of his mental constitution.
Ni serious claim kwa definition yako, siyo kwa kila mtu. Na sababu unayotoa ni ya kwako siyo ya kila mtu.
 
Habari za kibongobongo, unasoma mwanzo mpaka mwisho hamna direct quote hata moja. Kwa mtu anayejali usahihi wa habari ni lazima kujiuliza kama habari ni sahihi au ni maluweluwe ya muandishi.

Muandishi angeipa habari yake nguvu zaidi kama angeweka nukuu ya maneno halisi aliyotumia Tendwa na maneno halisi aliyotumia Kikwete ili tuweze kujua kama anachodai ni kweli au katia chumvi.

Bila hilo habari inakosa uhakika na context.

Nani aliyekwambia usahihi wa habari unaletwa na direct quote?
 
Unaangalia habari katika miwani ya aina moja. Nani aliyekwambia kuwa direct quote inakuwa na fundamental discourse. It can as well be acquired discourse siyo fundamental.

Wewe hata hujaielewa sentensi yangu umerukia tu. "Fundaments of the discourse". Get it right.

Kuna mengi ya msingi katika majadiliano haya. Mojawapo ni, je ni kweli Kikwete kamuumbua Tendwa?

Na bila kupata direct quotes hatutakuwa hata tumeanza kuupata ukweli huo. Kwa sababu mtu mmoja tu aliyekosa protein,vitamin na madini wakati wa ukuaji muhimu wa ubongo wake, na hivyo kudumaa katika uwezo wa kuelewa mambo, anaweza kutafsiri maneno kinyumenyume akayaleta hapa JF na kupotosha JF nzima.

Ndiyo maana tunataka maneno halisi ambayo yatatuelekeza kwenye ukweli kwa ufasaha uliozidi hizi habari za maneno ya jumlajumla.
 
Kwa hiyo unakubali kuwa mtu anaweza kuweka kwenye direct quote habari ya uzushi.

Akifanya hivyo huku akijua hiyo nukuu sicho alichokitamka anayedaiwa kukitamka basi huyo mleta habari ndiyo atakuwa mzushi.
 
Kwa hiyo kuandika kwa kupuyanga tu bila direct quote ndo uandishi wa hali ya juu? Na kudai verification tangu lini kukawa kitu cha kubezwa kwa wanaojua kutafuta ukweli?
Exploration and abstraction ni kiwango cha juu cha uandishi. Hivyo ya "Mwenyekiti wa chama amesema" ni rudimentary. Uandishi ni zaidi ya direct quotes.
 
Exploration and abstraction ni kiwango cha juu cha uandishi. Hivyo ya "Mwenyekiti wa chama amesema" ni rudimentary. Uandishi ni zaidi ya direct quotes.

Umesema uandishi ni zaidi ya direct quote. Kwa sheria hii mtu anaweza kuweka direct quote, halafu akaenda zaidi ya direct quote kwa kuichambua direct quote. Tutajua msingi wake umetokana na hii direct quote.

Kusema "uandishi ni zaidi ya direct quote" hakumaanishi "uandishi si direct quote". Maneno yako mwenyewe yanaonyesha hoja yako ilivyokosa kina.
 
Kwani kilichowekwa kwenye direct quote hakiwezi kuwa uzushi?

Uzushi unaowekewa direct quote ni rahisi sana kuung'amua kuliko uzushi unaokuja shaghalabaghala bila direct quote.

Ndo maana fact checkers tunataka direct quotes.
 
Ongea point, maisha binafsi ya mtu yanakuhusu nini? kama yeye atakuwa busy na wewe utakuwa busy kufuatilia maisha ya watu, hahahahahah sikufahamu kuwa unafuatilia maisha binafsi ya mtu kama hivi. Duh ! umechemshaje? Umechoshaaaa!!!!
Anzisha thread yako then tiririka utapata tu watu wa type yako.
 
How do you know kuwa statement ni objective au subjective....well...ndiyo umuhimu wa direct quote sasa. Mimi nije hapa na kusema Kikwete kasema hivi na vile bila direct quote halafu watu waanze kutoa maoni yao huoni kwamba haiji? Utatoleaje maoni jambo kwa ukamilifu kama hata ninachodai Kikwete kasema sina nukuu yake?

Sasa hapo huoni umuhimu wa direct quote? Je kama hata Kikwete hajasema hicho ninachodai kasema? Hili jambo mbona ni rahisi sana lakini inaonekana kama vile watu hamlielewi? Ni hamlielewi kweli au basi tu mnaleta ligi zisizo na kombe?

Nachosema ni kuwa direct quote haileti usahihi wa habari. Mtu anawezakuweka direct quote lakini habari siyo sahahi. Kwa hivo usahihi wa habari hauletwi na direct quote. Mtu anaweza asiweke direct quote na habari ikawa ni sahihi.
 
Back
Top Bottom