Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,976
- 146,278
Tendwa ni mzigo kwa taifa hili. Bora angerudi kijijini akalime kujaribu kuizuia Chadema ambayo haizuiliki na kujaribu kuikumbatia ccm ambayo ishakuwa mbuyu
Hili linaweza kuwa kweli kabisa.
Lakini hatujaona direct quotes ili kuweza kukubaliana na kichwa cha thread hii bado.
Inakuwa kama zile habari za "Rais ampiga mkewe". Ukija kusoma paragraph za kati huko unakuta kumbe rais wa chama cha ndondi kamkosa kofi hawara !
Kama hakuna quote na habari ni ya chumvi, je mnahitaji uzushi huu? Kama kweli CCM imeoza hivyo na wananchi wanaikubali CHADEMA kwa nini hizi low brow's low blows?