Wewe hata hujaielewa sentensi yangu umerukia tu. "Fundaments of the discourse". Get it right.
Kuna mengi ya msingi katika majadiliano haya. Mojawapo ni, je ni kweli Kikwete kamuumbua Tendwa?
Na bila kupata direct quotes hatutakuwa hata tumeanza kuupata ukweli huo. Kwa sababu mtu mmoja tu aliyekosa protein,vitamin na madini wakati wa ukuaji muhimu wa ubongo wake, na hivyo kudumaa katika uwezo wa kuelewa mambo, anaweza kutafsiri maneno kinyumenyume akayaleta hapa JF na kupotosha JF nzima.
Ndiyo maana tunataka maneno halisi ambayo yatatuelekeza kwenye ukweli kwa ufasaha uliozidi hizi habari za maneno ya jumlajumla.