Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Ukweli haujali demokrasia, hata dunia nzima ikisema moja ni mbili moja haigeuki mbili.
Nimeandika hapo juu kwamba sifagilii habari za kuangalia macho ya watu.
Serious claims require serious evidence, uneshindwa kutoa hata direct quote tu.
Unakubaliana na hoja katika thread ya propaganda? Do you even know the difference?
Nitakujiu kesho