Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Hii nchi ni ya wasanii ili ulijue hilo angalia mikutano ya ccm bila wasanii kukata mauno hawampati mtu!
 
Hivi Bulembo, mbona anauweka wazi ujinga wake?
Kwani Sumaye analipwa na CCM au na Serikali ambayo inapata pesa kutoka watanzania wote wa nchi hii, kama ambavyo anapata Kikwete au Msuya na Mzee Warioba au Seif Sharif Hamadi wa CUF.
Wananchi wasidanganywe na hawa wapotoshaji Waziri Mkuu mstaafu analipwa na Serikali na si CCM, na serikali inapata pesa zake toka kwa walipa kodi ambao ni watanzania wote bila kujali kuwa ni mwanachama wa chama cho chote.
Hivyo Lowasa au Sumaye kuwa upinzani bado anawatumikia watanzania kama alivyo magufuli au mfanyakazi ye yote wa serikali.
 
Siamini kikwete ambaye amekuwa raisi wa ccm kwa miaka 10 atafanya hivyo. Sijawahi kuota ndoto Tz inaweza kua n araisi mpumbavu na juha wa kupindukia.

Siamini kwanza kama haya maneneo kayasema yeye na bado ajiite raisi wa nchi.

Ninashindwa kupata neno zuri la kumwita zaidi ya kuona anajiletea laana kubwa kwenye mabega yake.

Alikuwepo waakti wa ufisadi, akabunda kama bundi juu ya mti.

Lowasa akajiuzuru kuikoa serikali yake isianguke, akachekelea.

Hakuonyesha hata siku moja kujali wala kuchukua hatua dhidi ya ufirauni wa seriakli yake.

Alipoulizwa RICHMOND, Kikwete huyu huyu akasema hamfahamu mwenye richmond.

210 akasimama monduli akimnadi Lowasa kwamba ni mtu safi na kwamba wananchi wamchague.

Lowasa kamtaja yeye kuwa ndiye mwenye richmond, ndipo naye kaibuka toka shimoni kusema anamfahamu mwenye richmond.

Huyu mtu aitwaye kikwete, anapata wapi ujasiri wa kuwatukana Watanzania matusi makubwa hivi?

Lini kikwete atakuwa na hofu ya Mungu japo awe mkweli hata kidogo?

NInamba kuanzia sasa Divine Justice ishuke kwa Watanzania. Divine Justice ishughulike na huyu mtu mwongo aitwaye jakaya mrisho kikwete. Aliyotufanya yametosha.
Mkuu nashukuru umeweza yaona yote haya katika siasa zetu kwani sisi ni WADANGANYIKA kweli na wepesi kusahau.. Sasa ikiwa leo hawa CCM mnasema wamesambaratika, huoni kama ndio wakati Wanafiki kujitoa macho?..Lowassa alijiuzuru kuokoa serikali ya JK ambayo yeye alikuwa Waziri mkuu na rafiki wa JK inaeleweka..

Leo ni maadui kwa nini mnaogopa kusikia mwenye Richmond? kwa nini msifurahie kuvunjika kwa urafiki wao na ukweli tuupate maana hawakuilinda CCM bali walijilinda wao na sasa wamefikia mahala kila mmoja anabeba msalaba wake..Kazi kubwa ifanyike tujue ukweli wa hilo sakata iwe JK au Lowassa wananchi wanataka kumjua mwenye Richmond (kwa ushahidi) japo mimi namjua vizuri tu ila niliposema hakuna aloniamini hadi waseme hawa wakubwa zenu..

Mwenye Richmond (Dowans) alikuwa Rostam Aziz akimtumia mhindi wa Gerezani alohamia Houston, USA na mpango huo umefanywa kulipa fadhila za uchaguzi wa mwaka 2005, ambao uliongozwa na kiongozi mkuu wa kampeni Edo mwenyewe.. Huwezi kuutenganiosha uongozi wa JK na Edo hata kidogo isipokuwa kukatwa kwake kugombea Urais kumevunja yamini walokula na sasa ni vita baina yao. Hivi vita sasa ndivyo vitakuwa furaha ya kunguru hakuna cha UKAWA vs CCM hivi vita ni Lowassa against JK wengine tyukae mkao wa sinema juice na popcorn pembeni!.

Anayegombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Magufuli hivyo UKAWA kwa kumtupia madongo JK kana kwamba yeye ndiye anagombea inawaondoa kabisa ktk ushindani na CCM isipokuwa wanaifanya kazi ya Lowassa dhidi ya JK. Wadanganyika hupenda kusikia visa na mikasa kama hii ya puta kama una nguvu vuka msitari.. UKAWA wanaamini wakiweza kumshusha JK kwa niaba ya Lowassa watakuwa wameishinda CCM lakini wanasahau kwamba Magufuli naye kisha jitenga na kuahidi Mabadiliko ambayo kasema maneno mazito sana ya kurudisha mali zilizo binafsishwa na kukataa kuwapigia debe Mafisadi ndani ya CCM. Tukiitwa wapumbavu na malofa tunachukia, tunachukia nini sasa..
 
Anna Mghwira jamanii... Anna Mgwiraaaaa

Mbona mmemtelekeza hivyo? kiongozi wa ngazi za juu za chama kubwa ACT-Wazalendo hata kumwanzishia uzi mgombea wako tabu jamani??

Msimtelekeze kiivyo jmn!!!
 
Mkuu nashukuru umeweza yaona yote haya katika siasa zetu kwani sisi ni WADANGANYIKA kweli na wepesi kusahau.. Sasa ikiwa leo hawa CCM mnasema wamesambaratika, huoni kama ndio wakati Wanafiki kujitoa macho?..Lowassa alijiuzuru kuokoa serikali ya JK ambayo yeye alikuwa Waziri mkuu na rafiki wa JK inaeleweka..

Leo ni maadui kwa nini mnaogopa kusikia mwenye Richmond? kwa nini msifurahie kuvunjika kwa urafiki wao na ukweli tuupate maana hawakuilinda CCM bali walijilinda wao na sasa wamefikia mahala kila mmoja anabeba msalaba wake..Kazi kubwa ifanyike tujue ukweli wa hilo sakata iwe JK au Lowassa wananchi wanataka kumjua mwenye Richmond (kwa ushahidi) japo mimi namjua vizuri tu ila niliposema hakuna aloniamini hadi waseme hawa wakubwa zenu..

Mwenye Richmond (Dowans) alikuwa Rostam Aziz akimtumia mhindi wa Gerezani alohamia Houston, USA na mpango huo umefanywa kulipa fadhila za uchaguzi wa mwaka 2005, ambao uliongozwa na kiongozi mkuu wa kampeni Edo mwenyewe.. Huwezi kuutenganiosha uongozi wa JK na Edo hata kidogo isipokuwa kukatwa kwake kugombea Urais kumevunja yamini walokula na sasa ni vita baina yao. Hivi vita sasa ndivyo vitakuwa furaha ya kunguru hakuna cha UKAWA vs CCM hivi vita ni Lowassa against JK wengine tyukae mkao wa sinema juice na popcorn pembeni!.

Anayegombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Magufuli hivyo UKAWA kwa kumtupia madongo JK kana kwamba yeye ndiye anagombea inawaondoa kabisa ktk ushindani na CCM isipokuwa wanaifanya kazi ya Lowassa dhidi ya JK. Wadanganyika hupenda kusikia visa na mikasa kama hii ya puta kama una nguvu vuka msitari.. UKAWA wanaamini wakiweza kumshusha JK kwa niaba ya Lowassa watakuwa wameishinda CCM lakini wanasahau kwamba Magufuli naye kisha jitenga na kuahidi Mabadiliko ambayo kasema maneno mazito sana ya kurudisha mali zilizo binafsishwa na kukataa kuwapigia debe Mafisadi ndani ya CCM. Tukiitwa wapumbavu na malofa tunachukia, tunachukia nini sasa..

Mkuu, yote unayoyasema sina tatizo nayo.

Ninaomba ufahamu kitu kimoja. Magufuli hana uwezo, nia wala msingi wa kuendesha serikali kinyume na chama chake.

Atawachukulia hatua kina kikwete, rostam, chenge, na wengine wengi waliohusika kwenye wizi wa raslimali za taifa katika mfumo wa Richmond, Epa, Rada, Meremeta, Kagoda, Barabara zke, nyumba za umma, escrow, ndege ya raisi, bomba la gas nk, akiwa wapi?

Usisahahau pamoja na uwongo wote wa kuigiza itikadi za CHADEMA, kwa maneno, na kwamba atawafanya nini na upumbavu mwingi tu eti mafisadi, huyo huyo anadiriki kusimama na kumsifia CHENGE kwenye kampeni. Unataka kuniambia kuna lolote analomaanisha huyo magufuli zaidi ya kwamba kawekwa chambo na mafisadi ili awanase Wananchi kwa uhai wa hayo mafisadi ya ccm?

Leo hii ukisema Magufuli, magufuli ambaye ni ccm, anayejidai kukandia chama chake, ataunda serikali ya watu gani wakati chama chote kimejaa mashetani na ndiyo anayotembea nayo, yanamfanyia kampeni na anayanadi kwamba ni masafi yaende bungeni?

Magufuli bado ni ccm ile ile iliyosnindwa kuwaletea manufaa wa tanzania hadi kutufikisha hapa tulipo. Leo kawa mgombea binafsi? Ameapa kuendeleza yote aliyokuwa akiyafanya kikwete, halafu wewe unataka kusema nini? Magufuli alishiriki kuharibu katiba ya wananchi na leo hii anaendelea na misimamo yake ile ile kwa macc wenzake, wewe hiyo nuru ya mabadiliko unaiona kutokea upande gani?

Hakuna mtu anayemtupia madongo Jk kwamba ni mgombea. Anajibiwa kulingana na upumbavu wake anapofungua domo lake linalonuka hila, ulaghai uwongo na uozo wa damu za watanzania. Walal yeye kwa sasa siyo agenda.

Hakuna mtu mwenye maslahi ya kujua nani mmiliki wa Richmdon nani ni jambazi wa nini. Ccm wote ni mauaji yameutibia, yametuchinja na kutuangamiza. Tunaona Kikwete ni raisi juha na ccm yake yote kwa sababu siku zote wamsimama kinyume na wananchi wakitetea ufisadi kiasi cha kusababisha mitafaruku hata bungeni. Kwa nini wapoteze muda na raslimali za serikali kwa kuendesha ubishi wa jambo lililowazi wakitumia wingi wao kutetea mauaji ya watanzania?

HIVI, LEO HII WEWE UNANUFAIKA NINI KWA SERIKALI YOTE YA KIKWETE, NA MAWAZIRI WAKE AKIWEMO MAGUFULI, WANAPOSIMAMA NA KUANZA KULALAMIKA ETI KUTAJA MAFISADI KWETU WAKATI WAO NDIO WALIOWAWEKA, NA WAMEKUWA SERIKALINI MIAKA YOTE HUKU WAKIJUA UHARAMIA WASICHUKUE HATUA ZAIDI YA KUTETEANA?

NOMBA UFUNGUKE UFAHAMU. SERIKALI YENYE AKILI TIMAMU, ILITAKIWA LEO HII IWE INASEMA NAMNA GANI IMEDHIBITI UFISADI NA UHARIFU WOTE ULIOTAKA KUJITOKEZA KWENYE SERIKALI BADALA YA KUANZA KULALAMIKA UTADHANI SERIKALI HAIKUWA CHINI YAO. MAPUMBAVU SANA HAYA MAJITU.

Tunamchagua Lowasa kwa sababu, alishiriki uharibifu na amekiri ushiriki wake huo na sasa ameondoka ccm, ameungana na Watanzanai wasafi katika mfumo wa mabadiliko. Hawezi kufanya ufisadi akiwa UKaWA kwa sababu UKaWA uan misingi yake y akutetea wananchi ambayo lazima LOwasa AIFUATE KAMA VILE MAGUFULI ANAVOLAZIMIKA KUFUATA MISNGI YA UFIRAUNI WA CCM AMBAKO NAYE NI MSHIRIKI NA AMEZIDI KUAHIDI ATAENDELEZA HAYO HAYO YA CCM.

Lowasa anakwenda kuunda serikal ya watu wasafi lakini maguguli anakwenda kuunda serikali iliyojaa mafirauni tu akiwemo yeye mwenyewe.

MANENO YA CCM TANGU 77, NDIYO YAMETUFIKISHA HAPA. KILA SIKU WANABADILI WATU NA KUTOA AHADI LAKINI HAKUNA MAFANIKIO ZAODI YA UGANGA JAA NA KUZIDI KUTUANGAMIZA NA WATOTO WETU.

TUNATAKA UKAWA, SERIKALI MPYA ITAKAYOSIMAMIA MASLAHI YA TAIFA.

TENA KUANZAIA SASA, ACHA KUSEMA MAGUFULI BILA KUUNGANISHA NA CCM UTUAMBIE NI NANI MWENYE NGUVU KATI YA MAGUFULI NA CCM. HALAFU USISEME LOWASA BILA KUUNGANISHA NA LOWASA NA UTUAMBIA NANI MWENYE NGUVU KATI YA LOWASA NA UKAWA.

CCM NI SHETANI LILE LILE NA HALINA UWEZO WA KUBADILISHA KITU NA YOTE YANAYOONGELEWA NA CCCM NI HILA NA ULAGHAI TU!.

NADHANI UMEELEWA.
 
Mkuu uloyasema yote ni UHALISIA ulouweka wazi kama unavyouona wewe kwa upande wa CCM. tatizo langu ni pale mnapofumbia macho UHALISIA ule ule uliopo upande wa UKAWA kwa sababu zisizojulikana ati mkiweka tumaini Hope - kuwa Objective katika jambo lilokuwa wazi kabisa kwamba Edo ni sehemu ya kundi hilo hilo hapo juu.

Kama unashindwa kumtenganisha Magufuli na kina Chenge na Rostam, Je unawezaje kumtenganisha Edo na Chenge na Rostam kwa sababu ya UKAWA wakati UKAWA sio chama? Nakubaliana nawe kabisa kwamba Magufuli hawezi kufanya lolote nje ya ilani ya chama chake lakini pia Edo hawezi fanya lolote la UKAWA ikiwa chama alichoingia ni CHADEMA na hakuapishwa kusimamia ITIKADI za chama maana asingeliweza kupitishwa.

Myaseme yoote lakini tunarudi pale pale ya kwamba UHALISIA umeonyesha uwezo mdogo sana wa UKAWA kutawala nchi hii hata katika kutangaza vita dhidi ya UFISADI tu wameshindwa Je, wataweza vipi kubadilika wakaleta mabadiliko baada ya kuchaguliwa! Mtu alokataa kukana makosa yake kama amekosea, utategemea vipi kwamba ataweza kubadilika ikiwa haoni kuna makosa aloyafanya akiwa hajawa kiongozi..

Kuna mwanamama mmoja alipoteza ndoa yake kwa sababu alisingiziwa katembea na rafiki wa mumewe (kashfa), baada ya miezi tu ya kuachika huyo mke kenda kuolewa na yule yule bwana alokuwa akisema kasingiziwa! Sasa wewe nambie Kilichofanyika ni kipi maana mimi natazama tu Uhalisia. Kitendo cha kwenda kuolewa na rafiki wa mumewe ni kosa acha mbali alosingiziwa toka mwanzo!...
 
Fwatilieni hii scandal ya Richmond, dowans, iptl, symbion, hadi pap na hatimae kuzaa account ya escrow na watu kugawana pesa kwa lumbesa. hii dili ni ya mda mrefu sana na ilianza enzi za Ben escrow ilikua ni itimisho la dili yenyewe. TAFAKARI, CHUKUA HATUA, HakiElimu.
Hakuna marefu yasiyo na ncha
 
Lowassa anatafuta sasa huruma aseme ameonewa. Swahiba wake JK hakuweza kumfunga lakini Magufuli hacheki na mtu. Ngojeni muone! Mnaosema mbona hajapelekwa mahakamani msiingie humu kulialia akipelekwa mahakamani!
Sawa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Fisadi ampeleke mahakamani fisadi mwenzie? Tangu lini?

Back
Top Bottom