Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Kwanza JK alisema hamjui mmiliki wa Richmond, leo hii anasema anamjua na atamtaja. JK ni mtupu kabisaa na anajiweka mahali pabaya. Kinga ikiisha anaweza shitakiwa kwa uhujumu uchumi

Hii ni aibu kubwa kama rais na mwenyekiti wa chama
 
Ni vyema suala ka Richmond lifikishwa mahakamani ili tumfaham muhusika. Vinginevyo kikwete na lowasa taifa litawahukumu
 
Jana tumemsikia kikwete akimtaka Lissu amtaje muhusika wa Richmond, lakini Lissu kwa upande mwingine anadai ni ya kikwete. Hadhari ya Richmond ni kubwa kqetu watz, kiasi cha kufanya umeme kuwa wa kuyumba. Kama haitoshi tunalazimika kuwalipa wamiliki mamilioni ya pesa kila mwezi kwa uzembe wa wachache. Tunawataka Lowasa na kikwete waliweke wazi, ni Nani muhusika kati yao?
 
Umeiona lichimondi tuu???
 
Hilo ni zito, labda sheria zetu zitoe ile kinga ya baadhi ya viongozi kutoshitakiwa baada ya kumaliza muda wao wa kiutumishi.
 
Umeiona lichimondi tuu???
Ndio suala mtambuka. Nia ni kufahamu muhusika sababu kila mmoja anakana.
 
Umeiona lichimondi tuu???
Ndio suala mtambuka. Nia ni kufahamu muhusika sababu kila mmoja anakana.
 
Utendaji wa serikali ya tz unasimamiwa na baraza la mawaziri. Kuna uwajibikaji wa pamoja. Mwenyekiti wa baraza la mawaziri ni rais. Ishu yeyote kubwa ni lazima ipitie huko, Richmond, epa, escrow, n.k, lazima ijadiriwe, wakubaliane, wakishakubaliana, mhusika akatangaze. Na humo kuna mwanasheria mkuu, makamu Rais, katibu mkuu kiongozi, nadhani na makatibu wakuu. Kwa dhana ya uwajibikaji wa pamoja, richmond siyo ya lowasa bali ni ya baraza zima la mawaziri.
 
duuh kwel siasa ni shidaah kwanini asimtaj mda wote huo afu leo amtaje
 
Baada ya tundu lis kumtaja muhusika ndio mana jk anasema tundu ndio anamjua na yuko nae. Kumbuka maneno ya lisu kabla ya edo kuhamia ukawa
 
Utendaji wa serikali ya tz unasimamiwa na baraza la mawaziri. Kuna uwajibikaji wa pamoja. Mwenyekiti wa baraza la mawaziri ni rais. Ishu yeyote kubwa ni lazima ipitie huko, Richmond, epa, escrow, n.k, lazima ijadiriwe, wakubaliane, wakishakubaliana, mhusika akatangaze. Na humo kuna mwanasheria mkuu, makamu Rais, katibu mkuu kiongozi, nadhani na makatibu wakuu. Kwa dhana ya uwajibikaji wa pamoja, richmond siyo ya lowasa bali ni ya baraza zima la mawaziri.

Kama kikwete anakana, na Lowasa anakana, na mazimio ya bunge yalimtaka Lowasa awajibike na akawajibika kisiasa. Cha kushangaza hapa rais na waziri Mkuu kila mmoja anakana, yupi muhusika? Why not mahakamani isiingilie kati ili wananchi tumfaham mbadhirifu wa hili?
 
Kiwete aliomba Li's amtaje mhusika was Richmond. Jamaa akamtaja Jana Morogoro. Mjadala umeisha.
 
Jana tumemsikia kikwete akimtaka Lissu amtaje muhusika wa Richmond, lakini Lissu kwa upande mwingine anadai ni ya kikwete. Hadhari ya Richmond ni kubwa kqetu watz, kiasi cha kufanya umeme kuwa wa kuyumba. Kama haitoshi tunalazimika kuwalipa wamiliki mamilioni ya pesa kila mwezi kwa uzembe wa wachache. Tunawataka Lowasa na kikwete waliweke wazi, ni Nani muhusika

Dr.Slaa Ameshasema tusichangue Rais kwa ushabiki kumchagua Lowasa ni sawa na kumchagua kikwete. wote wahuni wahuni tu (rip Mwl Nyerere). kati ya anatembea na Lissu (Kikwete) au mamlaka ya juu (Lowasa) au wote.
 
nimemsikia Lisu leo amesema Richmund ni ya Kikwete, sasa sisi kina gogo la shamba tunategemea Kikwete atakataa au atakubali kimya maana yake ni kukubali
 
kikwete ameshawahi kunukuliwa na vyombo vya habari kuwa hajui mmiliki wa dowans na richmond leo kamaliza muda wake anasema anamjua
 
sio kweli....huu ni ushabiki ambao kiukweli unaumiza watu wengi, mkiona topic inaleta hisia sana sio tu mnaichomekea mnaifuta kabisa alafu mnaacha kichwa cha habari juu ya Topic nyingine,,,Tubadilikeni jamani Tanzania ni yetu sote..asanteni hata kwa kunijibu
 
hata tundu Lissu anajua aliyeandamana naye ni mhusika wa Richmond ila wanafanya siasa za kisanii ambazo zinawafanya wote waonekane wasanii kwani alikuwepo mwebeyanga na pia alishawahi kumtaja anavyohusika sema JK ndio atajua makosa ya kuongoza nchi kwa uswahiba kwani angemfunga kipindi kile leo tusingesikia haya maneno ila hata kama ushahidi wa kumtia hatiani lowasa juu ya Richard monduli ni mgumu bado anaweza kufunguliwa mashitaka ya matumizi mabaya ya ofisi na kuiingizia nchi hasara
 
Back
Top Bottom