Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

haki ya nani mjaribu muone kudadadeki patachimbika
 
Wakati jk alishasema wahusika wa richmond hawajui
 
baada ya mh Raisi kuweka bayana kuwa mhusika wa Richmond ni Lowasa sasa file linaandaliwa na ushahidi wa kutosha umepatikana na nndio maana raisi jk amejitokeza baada ya miaka 8 kulisemea hadharani.

tahadhari
hatutaki fujo wakati lowasa atakapokamatwa kujibu tuhuma. mahakama sasa ndio itasema nihusika ama la kwaio tuendelee kuitunza amani.

Mmechelewa.
 
ikithibitika alihusika anapoteza sifa na NEC watamzuia kuendelea na kampeni sasa piga hesabu vizuri

Kwa akili yaa kesi kama hiyo itasikilizwa siku 39 hakuna mwenye ubavu kwa sasa lowasa anawasumbua ccm hakuna uwezo wowote wa kumshitaki na mwenyekiti wako analijua hilo kama lowasa ni muhusika kwa nini asitaje jina kama yeye mkuu wa nchi analeta mipasho eti anayetembea na lisu lisu anatembea na watu wengi kwenye mikutano yake amtaje jina
 
Sitashangaa wakimkamata maana wana uchu wa madaraka mbaya.
 
07:43 Today
By Petition :
Jinsi muda unavyokwenda, ndivyo true colors za
Lowasa zinaonekana. Lowasa IQ yake imeshuka
sana miaka hii 8 aliyokaa bila kazi yaani
nikichekesho mtu anayatarajia kuwa rais na kuwa
symbol ya taifa letu ana such low thinking
capacity, mpaka sasa ni kichekesho na hata ni
aibu mataifa mengine yanaposikia mgombea
uraisi anasimamia haya katika kampeni:
- kumfufua Balali na kumleta nchini
- Kumtoa gerezani Babu Seya aliyehukumuwa na
mahakama ya rufaa Tanzania
- Kuwatoa gerezani watuhumiwa wa ugaidi
- kuomba apewe kura na walutheri kwa kuwa na
yeye ni mlutheri
- kuanzisha benki ya bodaboda
- kuondosha nyumba zote za nyasi tanzania
- elimu ya chuo kikuu bure (hakuna nchi
iliyoendelea inayotoa degree ya bure, wanapewa
mikopo
- kuhakikisha kila mtanzania atakuwa tajiri kama
Bakhresa na Mengi
Lowasa ni aibu na fedheha kwa taifa...WE
DESERVE A LOT MORE THAN THAT...
 
Richmond=Richard Monduli.Walifanya wizi wa kimkakati(Strategic theft) jinsi ya kupata ushahidi beyond no doubt ni ngumu.Na sheria zilivyo najua huzijui ila Fisadi EL baada ya kukaa kwa muda inaonekana wamemshauri kwamba ukitaka kulikwepa sema "Wakupeleke mahakamani" wakati kama ni kweli yeye siyo MWIZI kwanini HAUMIZWI NA UFISADI na RUSHWA KABISA,Kwanini anagawa sana PESA na Kwanini UHALALI WA UTAJIRI WAKE NI SIRI KUBWA.Aseme jinsi alivyopata ili na sisi tunaotafuta tufuate nyayo zake.NI MWIZI TU.....
Kwa hiyo hata huyo Rais wako boya anashindwa kumtaja Lowassa? Kumbuka mpaka Lowassa anaondoka madarakani Richmond ilikuwa haijalipwa hata shilingi, ila kwa majuha mliowekwa humu mitandaoni kupotosha ukweli hamtafanikiwa.

Kwa mwenye akili timamu Richard Monduli ndio nini? Haya ni mazugumzo ya vijiwe vya kahawa alipotoka marekani mwaka 2006 Kikwete aliwaambia watanzania kuwa amekutana na wamiliki wa Richmond kwa hiyo wanakuja kufunga mitambo haraka, alikutana na Richmond gani huko? Maboya nyie
 
Mi naona Makufuli ndo si lolote ukizingatia ni mwalimu,maana walimu wengi wana mazoea ya kufanya kazi kwa maelekezo kutoka sehemu flani hivyo usitegemee chochote hata kama atapewa miaka 60 ya kuwa ikulu.
Zaidi ya hayo adui wa mwalimu ni mwalimu hivyo kwenye sekta ya elimu ndo anaenda kukamalizia hako karoho kalobaki.
CHUNGENI SANA
 
Rais anamwoga waziri wake mkuu alie mteua yeye mwenyewe. Huu u amiri jeshi mkuu umekaaje amiri jeshi wetu anakua mwoga kiasi hiki kwetu sisi itakuaje ?
 
Richmond=Richard Monduli.Walifanya wizi wa kimkakati(Strategic theft) jinsi ya kupata ushahidi beyond no doubt ni ngumu.Na sheria zilivyo najua huzijui ila Fisadi EL baada ya kukaa kwa muda inaonekana wamemshauri kwamba ukitaka kulikwepa sema "Wakupeleke mahakamani" wakati kama ni kweli yeye siyo MWIZI kwanini HAUMIZWI NA UFISADI na RUSHWA KABISA,Kwanini anagawa sana PESA na Kwanini UHALALI WA UTAJIRI WAKE NI SIRI KUBWA.Aseme jinsi alivyopata ili na sisi tunaotafuta tufuate nyayo zake.NI MWIZI TU.....

Wewe amekugaiya shingngapi????.
Jamani, hivi hizopesa anawagawia akina nani, mbona misijapata.
Hebunielekeze jinsi ya kuzipata.
 
Lowassa anatafuta sasa huruma aseme ameonewa. Swahiba wake JK hakuweza kumfunga lakini Magufuli hacheki na mtu. Ngojeni muone! Mnaosema mbona hajapelekwa mahakamani msiingie humu kulialia akipelekwa mahakamani!

Huyo magufuli atampelekaje rais mahakamani.
 
Back
Top Bottom