MONTESQUIEU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 847
- 80
Nadhani waliogopa ukweli kujulikana. !
Vijana munarukaruka na kukanyagana wenyewe mpaka basi, mara oohhh mbona hawamkamati kama yeye !! Leo mumegeuka munasema mbona hawakumkamata toka mwanzo !! Kesho mutakuja na jipya lingine lakini Mwakyembe alishaambia kesi ya jinai haina mwisho.
Blaza umezoea kudanganywa unadhani ule mchakato wa kinafuki ndio unatoa kiongozi bora? Ule mchakato ni kama KILI music Awards.
kosa la jinai mmeshaelimishwa mtu anaweza kukamatwa hata baada ya miaka 100. kwani hamjaona manazi wa vita vya pili vya dunia wanakamatwa hadi leo na kushitakiwa. kusema kwa nini akamatwe leo kuna siasa lakini kisheria kama kosa lipo itakua sawa tu.
toa melezo ya kina kwa nini hafai.acha porojo.aliyeuza nyumba za watumishi na aliyehakikisha maji ya ziwa victoria yanawafikia watu wa shinyanga licha ya vikwazo vya wamisri nani hafai?Laowassa hafai jamani tuache ushabiki
Ni bora hata hao waliofanya mchakato wa kinafiki.UKAWA hata huo wa kinafiki hakuna.Akisema MBOWE na MTEI nani wa KUPINGA?
mbona hauelewi wewe amesema anayetembea na Tundu Lissu kila siku kwenye majukwaa ya kisiasa kuomba kura za uraisraisi anamjua muhusika halafu anaongea majungu bila kuwa wazi
Richmond=Richard Monduli.Walifanya wizi wa kimkakati(Strategic theft) jinsi ya kupata ushahidi beyond no doubt ni ngumu.Na sheria zilivyo najua huzijui ila Fisadi EL baada ya kukaa kwa muda inaonekana wamemshauri kwamba ukitaka kulikwepa sema "Wakupeleke mahakamani" wakati kama ni kweli yeye siyo MWIZI kwanini HAUMIZWI NA UFISADI na RUSHWA KABISA,Kwanini anagawa sana PESA na Kwanini UHALALI WA UTAJIRI WAKE NI SIRI KUBWA.Aseme jinsi alivyopata ili na sisi tunaotafuta tufuate nyayo zake.NI MWIZI TU.....
Kwani Tundu Lisu anaongozana na mtu mmoja?