Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Itachukuliwa kama ni kwa sababu wa siasa. Aidha, inaweza kuvuruga uchaguzi pale watu watakapompigia kura akiwa ndani.
 
MILOFA NA MIPUMBAVU IMEKUJA JUU! kaunganeni na wanywa viroba na mateja wenu, muandamane, hamjaandamana siku nyingi sana!
 
Nina hisi Kikwete kachelewa sana kumfungulia mashataka rafiki hake ambaye ' hawakuonana barabarani' .
Uongozi lazima uwe na dhamira iliyo dhabiti, si stop gap measures.
Hili la kumfungulia mashataka wakati huu litaleta fujo nchini.

Kinachotakiwa ni JK kuonyesha dahiri utapeli, wizi na uongo wa Lowassa ili wananchi wamuelewe jinsi asivyo faa.
Hii ndiyo mahakama ya uhakika, mahakama ya wananchi.

If you close your eyes to facts, you will learn through.............
 
mhusika mkuu wa wizi wa richmond ni EDWARD NGOYAI LOWASSA - GAZETI MWANANCHI LA LEO AS PER J.K's statement

Tatizo ni kwa Mh JK kuagiza EL afikishwe kwenye vyombo vya dola. Huenda kuna sababu zingine ambazo sisi wananchi hatuzijui.
 
sasa kesi mbn hukufungua???

na kama hakufungua kesi huku akimjua fika mhusika wa kosa la wizi ina maana kuwa yeye ni rais mzembe kutoka katika lisys-yemu lizembe pia. kwa nini tuchague tena lisys-yemu?

chaguo sahihi ni :
MABADILIKO
LOWASSA
UKAWA
 
ama kweli upeo wa watanzania mdogo sana. hivi wewe unajua makampuni yatayochimba gesi ni ya wazungu. hapi mchina anapewaje gesi. anayechimba anatafuta na soko. ndio maana uko ukawa aisee upeo wako bado mdogo sana. Statoil ni kampunj ya Norway, BG ni kampuni ya Uingereza.. Kampuni hizo mbili pia zitajenga mtambo wa dola 20bn kwa ajili ya kuchakata gesi iwe hali ya majimaji yaani LNG iweze kusafirishwa nje ya nchi kwa meli. Hii inayokuja Dar kama gesi kupitia mabomba ni kwa ajili ya matumizi ya viwanda na kuzalisha umeme Tanzania.

Gesi ipi hapo kapewa mchina? ninavyofahamu mchina alipewa kazi ya kujenga bomba la gesi mpaka Dar.
2naweza tukabishana sana then tukaishia kwenye matusi, kwasababu wewe uta come up na fact zako za kipuuzi na kuniambia mm nina upeo mdogo na mm nita come up na fact zangu.... All in all JK sio kiongozi mzuri na Hilo ni kweli. Embu angalia nchi mahali ilipofikia, na kibaya zaidi raisi mbovu anampendekeza raisi ajae kwa kulipitisha jina lake bila democracy. Unadhan kiongozi mbovu atampendekeza kiongozi imara? Think about it
 
Nasikia EL toka 1995 walimkataa eti ni kijana mdogo mwenye pesa ambazo akiwatajia alipo pata wanabisha,,,, sasa kwa nn washangae leo eti anapesa mingi kwanza '95 Richmond ilikuwepo, Ngashitukaaa nataka mabadiliko
Now you're talking
 
JK nae aache usanii, mbna Lisu kamtaja kwamba JK ndie mwenye richmond, halafu yy anatuambia mwenye richmond anatembea na Lisu, ss hii sentensi si tata? Anaposema anayetembea na lissu kwenye kampeni tujue ni nani ss? dereva wa lisu? bodyguard wa lisu? Mbowe? Sumaye? Lowasa? meneja wa kampen wa lisu? Maana lisu kwenye kampen anaongozana na watu wengi, atutajie ili tulione picha likiungua
 
Mzee wa madini makubwa makubwa na madogomadogo ahahahahahahaaaaaaaa!!ahahahaaaaa

Ila tuseme tu ukweli jamani LOWASSA kimeo!!sema watu wameichoka CM tu ndio maana ila Lowassa kiukweli ni Kimeoo

Nendeni instagram kwa mangekimambi mkacheke
Acha kujamba Jamba ww mdada.
 
Hili liko wazi...mtu anaweza kujiuliza, iweje mpaka leo (baada ya Lowassa kukimbia CCM) bado ana kigugumizi cha kuzungumzia mmiliki wa Richmond...kwa hali ya kawaida, huu ulipaswa kuwa muda wa kuweka kila kitu hadharani....

Kama issue ya Richmond ilisababisha upotevu wa fedha za serikali (kwahiyo za umma), jambo muhimu siyo kutajana majina kwenye majukwaa ya siasa bali kuwakamata wahusika wote na kuwasweka korokoroni. Tena washitakiwe kwa makosa ya kuhujumu uchumi ili wasipate dhamana.

Mwisho wa siku fedha iliyopotea irudi ikawahudumie wananchi.

Tuacheni ushabiki usio na tija kwa taifa! Nasisitiza bado tuna serikali halali madarakani na kama wanachukia ufisadi (ikiwemo) Richmond wachukue hatua sasa. Bahati nzuri Magufuli ni waziri katika serikali hii, asisubiri kuwa rais ndiyo ashuhulikie mafisadi. Aanze sasa na Kikwete amuunge mkono kama kweli wanayo dhamira ya dhati kupambana na majizi na mafisadi.

cb
 
richmond=richard monduli.walifanya wizi wa kimkakati(strategic theft) jinsi ya kupata ushahidi beyond no doubt ni ngumu.na sheria zilivyo najua huzijui ila fisadi el baada ya kukaa kwa muda inaonekana wamemshauri kwamba ukitaka kulikwepa sema "wakupeleke mahakamani" wakati kama ni kweli yeye siyo mwizi kwanini haumizwi na ufisadi na rushwa kabisa,kwanini anagawa sana pesa na kwanini uhalali wa utajiri wake ni siri kubwa.aseme jinsi alivyopata ili na sisi tunaotafuta tufuate nyayo zake.ni mwizi tu.....

wewe kweli hujitambui kwanini raisi wako alikuwa wapi asimtaje siku zote?kataitiwa sasa anajichanganya...anadhani zile dawa zakusahau walizowapa watanzania zinafanya kazi...siku zote mwambieni raisi wenu kuwa akidanganya akumbuke jana alisema nini...
1.simjui mmiliki wa richmond.
2.leo anatembea na lisu.
Nb.
Hivi escrow atajibia lini kama richmond ni leo na kwanza bado hajamtaja ana kigugumizi?
Epa..rada mbovu., buyankulu...nyumba za shirika la nyumba..mabehewa mabovu..ishu ya bilali, decci...utajiri wa gafla wa mwanaye..aunque mpake wakihame chama?asifanye siasa za kitoto...
 
Wasitufanye sisi niwakupokea tu na kumeza uvundo wao kikwete kumtaka lisu ataje kwani yeye si mhusika pia na lowassa wake!!!
 
Baada ya ripoti ya Richmond kujadiliwa bungeni baadhi ya wabunge hawakuridhika na Maelezo yake na hivyo kutaka bunge lijadili tena suala hilo.Hata hivyo spika alikataa katakata suala hill kurudi bungeni.ni kwa nini?alizuiwa na nini?
 
Back
Top Bottom