Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

hahaaaa gusa kipenzi kile cha watu.....
afu watu waambiwe tumechoka ...dadeki mtiti wake sipat picha
 
Naona sasa hali mbaya lumumba, baada ya kuona mambo yamekuwa ndivyosivyoo!!

Leo hii kikwete anasema anayehusika na richmond ni yule anayetembea na lissu kwenye kampeni?

Maswali ya kujiuliza ni nani? lowassa, sumaye, masha, au mgeja?

Mpango uliosukwa ni kwamba, jamaa akijibu lolote kwenye hili, au hata wenzake wakijibu kwamba nani huyo aliyehusika au kwanini wasimkamate, ndio wapate mwanya wa kumkamata ili asiendelee na kampeni na kumfungulia kesi mahakamani. Kesi hiyo itafanya akose rufaa na asiendelee na kampeni.

Hivyo naomba ukawa msiingie kwenye mtegoo huo, hawa jamaa wamekalia pabayaa.

Hahahaaaaa. Mtahangaika sana. Lowasa si lolote wala chochote hapa nchini. Anahangaika na siku zake tu nanyi mnapiga dili maisha yaende mbele ili baada ya uchaguzi muwe na kumbukumbu kwamba uchaguzi huu mlipata nini.
 
mkichukua hatua kama hivyo ndo vizuri sio yaishie mdomoni tu, BTW mamvi ndo raisi ajaye so kuwa na heshima
 
Lowasa ndio rais..ccm ni ile ile ht akigombea malaika siwapigii kura.fisiem ni zaidi ya choo
 
Pole ndg simiyu uetu manake naona uko pekeako ktk kutetea hili jambo. Lakini wengi wape. Lakini tutambue kitu kimoja kua sis tumekuajili ww ili utuongoze na sheria umetunga ww. Sisi kama wananchi tulokupa ww mamlaka inatakiwa ukija kwetu utwambie kua umefanya moja, mbili tatu na hiki kimekushinda ili sis tulokupa dhamana tuamue chakufanya. Lakini mwanzoni mwahili jambo alisema hana kosa miaka 8 imepta lakin leo unakuja na sound nyingine tukweleweje. Hauko silias nakazi tulokupa. Niudhaifu kwawalokupa dhamana utuongoze. Ukweli umuweka mtu pazr kuweni wakweli ktk masilai yataifa msituyumbishe tunaoumia niss pamoja na kizazi kijacho.

haa haa hakuna rais msanii kama jk. kumbuka miaka 8 iliyopita ni rais kikwete aliyesema yaliyompata lowasa kuhusu richmond ilikuwa ni ajali ya kisiasa.
 
Nitapenda wamkamate kesi iende mahakamani tujue ukweli ila kura tutampa lowasa ili na wa escrow wakamatwe
 
Duh! Walishindwa kumwekea hata pingamizi asigombee urais mpaka muda ukaisha! Wataweza kumshtaki? Na MTU akitaka kwenda mahakamani si aende kwani jamii forum ndio mahakamani?
 
Siamini kama Kikwete anaweza kupungukiwa uwezo wa kufikiri kiasi hiki! Kwanza kuweka neno "anayetembea na Lissu kila siku kwenye kampeni" ni kumaanisha nini? Maana Lowassa kwenye kampeni zake wakina Lissu na wengine wanampokea kwenye kanda zao! Anayetembea na Lowassa aghalabu ni Sumaye! Hizi ndizo siasa wanazofanya viongozi wa nchi tena rais?

Huitaji kujiuliza kwa nini Tanzania ni masikini! Simply muangalie rais tu utaelewa!
Ni kweli kabisa mkuu. Yani mimi mwenyewe siamini kama hili gazeti linasema ukweli. Yan kwamba raisi aongee kipuuzi ivi!!? Kweli cjui
 
baada ya mh Raisi kuweka bayana kuwa mhusika wa Richmond ni Lowasa sasa file linaandaliwa na ushahidi wa kutosha umepatikana na nndio maana raisi jk amejitokeza baada ya miaka 8 kulisemea hadharani.

tahadhari
hatutaki fujo wakati lowasa atakapokamatwa kujibu tuhuma. mahakama sasa ndio itasema nihusika ama la kwaio tuendelee kuitunza amani.
Nina hisi Kikwete kachelewa sana kumfungulia mashataka rafiki hake ambaye ' hawakuonana barabarani' .
Uongozi lazima uwe na dhamira iliyo dhabiti, si stop gap measures.
Hili la kumfungulia mashataka wakati huu litaleta fujo nchini.

Kinachotakiwa ni JK kuonyesha dahiri utapeli, wizi na uongo wa Lowassa ili wananchi wamuelewe jinsi asivyo faa.
Hii ndiyo mahakama ya uhakika, mahakama ya wananchi.
 
Hakuna kuwajibu hapo, wacha wapige kelele wewe. Muda ukifika tutamjua muhusika tuu. Kenyatta alienda mpaka the Hegue but still ni kipenzi cha wakenya wengi tuu na maendeleo wanayo wanasonga mbele.
 
Nitapenda wamkamate kesi iende mahakamani tujue ukweli ila kura tutampa lowasa ili na wa escrow wakamatwe

ikithibitika alihusika anapoteza sifa na NEC watamzuia kuendelea na kampeni sasa piga hesabu vizuri
 
Back
Top Bottom