Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Ni wa kupuuza tu,Anataka kututoa kwenye reli na treni ishakolea
 
Kweli hawa jamaa ni wajinga kwani LISU ni mwanasheria wa serikali hata wamtake amtaje? Jakaya ndiye haswaaa anayetakiwa kumtaja lakini inashangaza kuona miaka mingi sasa mmiliki wa richmond hafahamiki. Jakaya usitutie ujinga.

We Ni Mpumbavu Kwel,kwan Miaka 7 Yote Alivokuwa Anaimba Lowassa Anahusika Na Richmond Alikuwa Mwanasheria Wa Serikal?Nyie Ukawa Ndo Msitutie Ujinga,tuonyesheni Ushahidi Mliokuwa Mnasema Mnao.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Bulembo unapaswa kutambua Sumaye ana stahili malipo pamoja na ulinzi kama haki yake ya msingi ki KATIBA. Siyo swala la kumwambia aache awe raia wa kawida KATIBA YA NCHI inataka hivyo.

"Ni lazima tufike mahali Taifa hili tuache kuwa watu wa porojo....Taifa hili siyo maskini kuna wezi wapo bandarini. Najua saa hizi wanatafuta biashara nyingine."

"...Analipwa asilimia 80 ya mshahara wa Waziri Mkuu aliyepo madarakani, Mizengo Pinda. Mpaka leo bado ana ulinzi na anahudumiwa na Serikali hii
. Kwa kupitia jukwaa hili la Nzega hebu Sumaye aache mshahara huo, arudishe walinzi awe raia kama sisi," alisema Bulembo.
Kumbe Bashe naye anawajua hawa wezi wa bandarini, kazi ipo sasa. Naamini mpaka Oktoba yale majina ya makampuni waliyokuwa wakitumia kwa miaka 10 yatakuwa yanasomeka kama yaliyofilisika huko brella huku yakija na utambulisho mpya kukwepa kutofilisiwa. EL na UKAWA bila shaka wanauelewa mchezo huo zaidi hata ya wezi wenyewe!

Suala la mshahara ni kuwa analipwa kwa sababu ya kuwatumikia Watanzania na sio kuitumikia ccm sasa ni kwa nini asilipwe wakati anashinda majukwaani kuwaeleza wananchi ukweli!? Hii inaonyesha Bulembo yko kwenye kampeini lakini hata haelewi ni kwa nini wananchi wanatakiwa kupiga kura!

na muhusika wa eskro/meremeta/epa/bot/ujangili/meno ya tembo/twiga kupanda ndege ni nani?
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Le Profeseri katika ubora wake!!
 
Hivi mtu akitembea na Lisu maana yake si ni kimada wake.
 
Ukiitaka kumjua Richmondi
Jiulize Symbionin ya Nani mpaka

Rais Obama aje azindue
mitambo ile ile ya Richmond /Dowans????????

Lowasssa alikuwepon???
Lowasssa anaonewa
ni kafara ya wakubwa

Rais atatoka Ukawa Mwingine ni kivuli tu !!!

Ukawa 64 % ccm 32%
 
Magufuri hataweza kubadili nchi hii mbona hadi leo kuna wilaya barabara ni vumbi tupu.hata wafanyeje ni ukawa tu kama walivyo fanya kenya wakafanikiwa.
 
Tunataka watukabidhi nchi yetu kwa amani. Wasithubutu kufanya ujinga wa aina hiyo. Wao hawana hati milki ya nchi hii,hii nchi ni yetu sote na kila mtu ana haki ya kuwa rais wa nchi ili mradi katimiza matakwa ya kikatiba na sio mali ya CCM.
 
hiz ni dhiaka za hali ya juu wanatuperemba wananchi
 
Kumbe Bashe naye anawajua hawa wezi wa bandarini, kazi ipo sasa. Naamini mpaka Oktoba yale majina ya makampuni waliyokuwa wakitumia kwa miaka 10 yatakuwa yanasomeka kama yaliyofilisika huko brella huku yakija na utambulisho mpya kukwepa kutofilisiwa. EL na UKAWA bila shaka wanauelewa mchezo huo zaidi hata ya wezi wenyewe!

Suala la mshahara ni kuwa analipwa kwa sababu ya kuwatumikia Watanzania na sio kuitumikia ccm sasa ni kwa nini asilipwe wakati anashinda majukwaani kuwaeleza wananchi ukweli!? Hii inaonyesha Bulembo yko kwenye kampeini lakini hata haelewi ni kwa nini wananchi wanatakiwa kupiga kura!

Bulembo ndo nini??
 
Mwaka wa mabadiliko hakuna wa kuzuia Lowassa ni raisi a Tz mwaka huu tumeshaamua hivyo
 
Back
Top Bottom