Wewe amekugaiya shingngapi????.
Jamani, hivi hizopesa anawagawia akina nani, mbona misijapata.
Hebunielekeze jinsi ya kuzipata.
Laowassa hafai jamani tuache ushabiki
Richmond=Richard Monduli.Walifanya wizi wa kimkakati(Strategic theft) jinsi ya kupata ushahidi beyond no doubt ni ngumu.Na sheria zilivyo najua huzijui ila Fisadi EL baada ya kukaa kwa muda inaonekana wamemshauri kwamba ukitaka kulikwepa sema "Wakupeleke mahakamani" wakati kama ni kweli yeye siyo MWIZI kwanini HAUMIZWI NA UFISADI na RUSHWA KABISA,Kwanini anagawa sana PESA na Kwanini UHALALI WA UTAJIRI WAKE NI SIRI KUBWA.Aseme jinsi alivyopata ili na sisi tunaotafuta tufuate nyayo zake.NI MWIZI TU.....
Wakimtumia Kikwete ----Richmond ni ya lowassa na rostam period
![]()
Zinahitajika kura milioni 11 za watz ili ccm iage madarakani.
Kama anawapa gesi kishkaji kwann wasimtunuku? Think about it
PM this man TeamLowassa upate mgawo wako....