Rais Kikwete amfunika 50 cent (Picha)

Kuna moja Big Benjamin alipiga na Actor wa Last king of Scotish(Wakimwiga Id Amin) if am not mistaken! I hav a pic..
 
Gazeti la nipashe ukurasa wake wa mwisho leo umetoa picha ya rais wa tz akiwa na rapa 50 cent. Nikajiuliza rais akikutana na mtu kama huyo wanakuwa wanazungumzaa nn?uwekezaji katika sekta ya sanaa Tz?au kitu gani?
 
teh mwenyewe nimeona si anakutana na msanii mwenzake?mimi nimeona sawa tu labda anataka watoe single
 
Si angeenda na Sugu ili waelewane vizur na mwana hiphop mwenzake. 'kweli jk ni wa ajabu sana ss walikuwa wanabadilishana nini?'
 
Sa kama Obama kamchomolea mlitaka apige picture na nani? na safari ijayo ana piga picture na Lady gaga ....lol.
 
Ndugu umeniacha sina mbavu; mwewekezaji mtarajiwa huyo pengine.

It is so common an experience that birds like feathers would always be flocking together. Hata hivyo marais wengine kama Goodluck Jonathan wa Nigeria pamoja na Wade wa Senegali wao niliwaona CNN wakizungumza kwa muda mrefu sana na mmiliki wa Microsoft, Bill Gates ambaye naye alionekana katika maeneo ya hapo Umoja wa Mataifa New York.

Mmmhhhh eti 50 Cents. Je hapa nyumbani kakutana mara ngapi na yule 20 per cent yetu wa kule Kisarawe na vibao vyake kuhusu ugumu wa maisha kwa masela nchini????????

Gazeti la nipashe ukurasa wake wa mwisho leo umetoa picha ya rais wa tz akiwa na rapa 50 cent. Nikajiuliza rais akikutana na mtu kama huyo wanakuwa wanazungumzaa nn?uwekezaji katika sekta ya sanaa Tz?au kitu gani?
 
50cts does not need to talk anything...

Unajua how much he worth? 450million US Dollars; Yaani zaidi ya Bajeti ya Serikali ya Tanzania...
 
Do we expect anything from him other than what he does best...trotting the global, photo session and hand shaking with them celebrities, attend international fora, parting etc.
 
Gazeti la nipashe ukurasa wake wa mwisho leo umetoa picha ya rais wa tz akiwa na rapa 50 cent. Nikajiuliza rais akikutana na mtu kama huyo wanakuwa wanazungumzaa nn?uwekezaji katika sekta ya sanaa Tz?au kitu gani?
ndege wa aina moja uruka pamoja!!
 
Nafikiri kuna sababu na inaweza ikawa ni juu ya kukiinua kikundi cha Tanzania House oF tanzania!!! Lakini mie sioni ajabu kwani hata mwl. Nyerere kwenye sherehe za uhuru wa Zimbabwe alimkaribisha Bob. Kuja hapa Bongo!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom