Rais Kikwete amfunika 50 cent (Picha)

Jamani huyu jamaa naye atatoa vyandarua au inakuwaje ?Mbona JK hapigi picha na wapiga kura wake wa Bwagamoyo na ma CCM wenzake wala hataki wamsogelee lakini huku anakuwa mrahisi namna hii ?Hii imekaaje ?
 
Hizi ndizo raha anazofata huyu jamaa huko USA...anatuacha tunapauka kwa jua na umaskini yeye anaenda kula good time na hawa wahuni....teh the teh teh...Napata hasira nashindwa cha kufanya,natamani niingie kwenye bongo za watanzania waone dharau hii kwa watanzania,ila yapo mabogus yanaendelea ku-support CCM na uchafu wake...
50 Cents just inaugrated a campaign to feed 1bn hungry people in this globe...... better than taking a pic with careless Obama, he don't care about us.
 
Hebu imagine Obama anapiga picha na Kalapina au Chidi Benzi. Hivi inaweza kuwa rahisi namna hiyo?
 
Jamani angalieni hiyo picha vizuri halafu mnisahihishe.
Ninachokiona ni kwamba hiyo picha imetengenezwa! Sio ya kweli, Angalia pale walipo gusana pamoja na mkono wa kushoto wa JK Kwenye hiyo picha, kunatofauti kubwa.
 
Jamani makali ya maisha yamewazidia wananchi, vitu muhimu madukani bei juu, umeme wa wasiwasi, njaa, shida ya maji na thamani ya shilingi inaporomoka kwa kasi ya kutisha imefika dola moja kwa 1650/= nashindwa kuelewa hii raha ya rahisi kujivinjari majuu na vimwana na wasanii wahuni wanaoimba mashairi kama fu***ck you, b***itch anaitoa wapi wakati nyumbani ameacha shida kedekede. Tumwombe Mungu.
 
x2_86970ba

saf.i mkuu wa kaya umetisha,usisahau kipiga na beyonce.
 
Ha2na cha kufanya 2ngoje 2015 tu 2one 2tafanya nn........swali kwa watz miaka 10 ya urais 2mefaidika na nn au ndo kpiga picha za kuonyesha ufahari 2 ktk nch za wa2? JIBU UNALO
 
Mwacheni prezidaa bana! Mnamuonea gere tu!! Mwenzenu hii ndo hobbie yake!!

Mnakaa kumkera kera tu mara umeme, sijui maajali, sijui mv gani ile... Akapata zake shavu la UN anapeta. Na atakaa mpaka assembly iishe... Akija hapa atasema, nimewapatia shavu kubwa sana bongo fleva..tehe tehe tehe...
 
Hakuwa na haja ya kuwa rais angedili na haya mambo naona ndio kipaji chake kilipo,nchi ilishamshinda basi tena.duuuuh kaazi sana!
 
hii sasa kali rais wa nchi mbona sijawai kumuona kapiga na Muhidi Gurumo au JUMBE kweli kodi yake kiongozi...anatufundisha nnwatz,huu muda anaupata wapi badala kwenda kujadili mambo ya nchi
 
Sifa ya mwanaume aliyekamilika huku mtaani kwetu ni kufunika masupastaa. Maana kijiweni tutapiga story gani sasa? Bravo mtu wangu!
 
Jamani jamaa anauza nyago hadi aibu nasikia alimuomba kupiga nae picha kwa lughja ya upole kinoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom